Benteke network si ikakata bwana.....

Benteke network si ikakata bwana.....

Nikusahihishe dear...ni Li sio Ki......alafu huwa nalifungaga na rababendi alafu naliweka kiupande...ushaona yale maji ya kunywa ya viroba yanavyofungwa kwa juu ..basi ndo ivo dear.
yale yalikuwa yanaitwa kandoro?
 
Muvi imeisha ilikua ni usiku tayari, binti akaniambia, "Ben I can spend overnight at ya place" He.!..nikasema hapa sasa nikimruhusu tu ntaaribu kila kitu.

Maana nikifikiria fujo za mama mwenye nyumba kuamka saa kumi asubuhi na madumu yake ya maji, ikifuatiwa na harufu ya vitumbua anavyokaanga.....ingekua ni majanga...






Basi akili ya haraka ikanijia nikamwambia "no electricity" basi binti alivyoshtuka utafikiri nimemwambia nalala nje.

Tumefika uzunguni ili nimshushe si akaniambia "Ben its too late already you can sleep here" Du! nilivyoshuka haraka nilisahau hata kuzima gari basi yule mlinzi ndo alinishtua...oyaaa, dogo Zima ndinga.

Tuko ndani na shughuli inaanza....si katikati ya shughuli network ikakata ghafla...aisee.

Nilitumia kila njia lakini wapi.... binti katumia ufundi wote lakini chenga chenga tu.

Nikasema labda ni hii eisii tukatoka nje kibarazani.....binti kapepea wapi.

Ben akili ya fasta ikanijia....mimi mbio bafuni..nikatafuta kipande cha sabuni sikuona...naona makopo kopo tu.....nikaona moja limeandikwa shampoo...nikafungua nikamimina ya kutosha kiganjani...dakika tatu tu network ikarudi lakini, baa mbili...kwa kweli sikusubiri nikasema hizi hizi zinatosha minara iliyobaki itakamata tu, nikatoka mbio..binti yuko bado barazani... nikamkamata mkono, akashtuka ,

Ben what? r u ok? basi mimi namvutia ndani kwa nguvu huku namjibu "it is standing, it is standing" yaani ninavyoongea hapa nimemwacha amelala hata kazini hajaenda leo.


Mmmmhhhh sijawahi kuona,mkuu injini inachanganya oil na maji then inapoteza nguvu
 
Ila mkuu nimependa sana jitihada zako maake cha malkia naona unakitema tu huna shida hata tema babaaaa tuanze kujifunza na cha yule kansela
 
du!kitu cha kupaki kwenye mteremko hicho!!ila kikiwaka huwa hakizimi...
 
Hahahahahaaaaa, uwiiiiiiiiiii! Nimecheka kweli kwenye hii sentensi! "it is standing, it is standing".
Muvi imeisha ilikua ni usiku tayari, binti akaniambia, "Ben I can spend overnight at ya place" He.!..nikasema hapa sasa nikimruhusu tu ntaaribu kila kitu.

Maana nikifikiria fujo za mama mwenye nyumba kuamka saa kumi asubuhi na madumu yake ya maji, ikifuatiwa na harufu ya vitumbua anavyokaanga.....ingekua ni majanga...

Basi akili ya haraka ikanijia nikamwambia "no electricity" basi binti alivyoshtuka utafikiri nimemwambia nalala nje.

Tumefika uzunguni ili nimshushe si akaniambia "Ben its too late already you can sleep here" Du! nilivyoshuka haraka nilisahau hata kuzima gari basi yule mlinzi ndo alinishtua...oyaaa, dogo Zima ndinga.

Tuko ndani na shughuli inaanza....si katikati ya shughuli network ikakata ghafla...aisee.

Nilitumia kila njia lakini wapi.... binti katumia ufundi wote lakini chenga chenga tu.

Nikasema labda ni hii eisii tukatoka nje kibarazani.....binti kapepea wapi.

Ben akili ya fasta ikanijia....mimi mbio bafuni..nikatafuta kipande cha sabuni sikuona...naona makopo kopo tu.....nikaona moja limeandikwa shampoo...nikafungua nikamimina ya kutosha kiganjani...dakika tatu tu network ikarudi lakini, baa mbili...kwa kweli sikusubiri nikasema hizi hizi zinatosha minara iliyobaki itakamata tu, nikatoka mbio..binti yuko bado barazani... nikamkamata mkono, akashtuka ,

Ben what? r u ok? basi mimi namvutia ndani kwa nguvu huku namjibu "it is standing, it is standing" yaani ninavyoongea hapa nimemwacha amelala hata kazini hajaenda leo.
 
hahahahahahahaaaaa eti network ikarudi lkn bar mbili.... I love this place
 
my english is not climbing mama weee wee njoo pande hii
si ulisema demu anaongea kingrezaa ukashindwa kumjibu ulienda english course nn? wajameni ibilisi huyu yuko nje nje anatupitiaje wadada ? God forbide
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom