Benteke network si ikakata bwana.....

Benteke network si ikakata bwana.....

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Muvi imeisha ilikua ni usiku tayari, binti akaniambia, "Ben I can spend overnight at ya place" He.!..nikasema hapa sasa nikimruhusu tu ntaaribu kila kitu.

Maana nikifikiria fujo za mama mwenye nyumba kuamka saa kumi asubuhi na madumu yake ya maji, ikifuatiwa na harufu ya vitumbua anavyokaanga.....ingekua ni majanga...

Basi akili ya haraka ikanijia nikamwambia "no electricity" basi binti alivyoshtuka utafikiri nimemwambia nalala nje.

Tumefika uzunguni ili nimshushe si akaniambia "Ben its too late already you can sleep here" Du! nilivyoshuka haraka nilisahau hata kuzima gari basi yule mlinzi ndo alinishtua...oyaaa, dogo Zima ndinga.

Tuko ndani na shughuli inaanza....si katikati ya shughuli network ikakata ghafla...aisee.

Nilitumia kila njia lakini wapi.... binti katumia ufundi wote lakini chenga chenga tu.

Nikasema labda ni hii eisii tukatoka nje kibarazani.....binti kapepea wapi.

Ben akili ya fasta ikanijia....mimi mbio bafuni..nikatafuta kipande cha sabuni sikuona...naona makopo kopo tu.....nikaona moja limeandikwa shampoo...nikafungua nikamimina ya kutosha kiganjani...dakika tatu tu network ikarudi lakini, baa mbili...kwa kweli sikusubiri nikasema hizi hizi zinatosha minara iliyobaki itakamata tu, nikatoka mbio..binti yuko bado barazani... nikamkamata mkono, akashtuka ,

Ben what? r u ok? basi mimi namvutia ndani kwa nguvu huku namjibu "it is standing, it is standing" yaani ninavyoongea hapa nimemwacha amelala hata kazini hajaenda leo.
 
Ben kumbe una kigovi!!!

Nikusahihishe dear...ni Li sio Ki......alafu huwa nalifungaga na rababendi alafu naliweka kiupande...ushaona yale maji ya kunywa ya viroba yanavyofungwa kwa juu ..basi ndo ivo dear.
 
Nikusahihishe dear...ni Li sio Ki......alafu huwa nalifungaga na rababendi alafu naliweka kiupande...ushaona yale maji ya kunywa ya viroba yanavyofungwa kwa juu ..basi ndo ivo dear.

We ni ndugu yake lusulukuchu eeeh huwa hawayatoi wale
usilikate mwaya lina jotrooo
 
Huyu jamaa napenda kweli story zake nimecheka sana. Nilikuwa nimenuna baada ya mke wangu kunizingua ila jf has made me laugh
 
Huyu jamaa napenda kweli story zake nimecheka sana. Nilikuwa nimenuna baada ya mke wangu kunizingua ila jf has made me laugh

Pole sana kaka ndio kina mama walivyo....wakati mwingine inatakiwa uwe na roho ngumu kama ya paka. Full ukauzu. ila mpende sana mkeo.🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom