Benson Mramba: Nimeamua kuwa Mwanachama Mfu wa CHADEMA

Du!! Njaa hizi zitatuua ... kama mlikua hamjui huu ukata unao ikabili nchi kwa sasa ni tekniki ... ili ukionyeshwa bulungutu unaregea mwenyewe ...

Kwa heri Ben ... kila la kheri ... wape salam Ndg. Kitila na Mama Mghwira ... waambie wengine wapo njiani wanakuja ...
 
Mwenyekiti wetu ameleta madai ya Tsh Bilioni 7 kwa Chama fedha ambazo ameanza kujilipa kinyume cha utaratibu na kukiacha Chama taabani kifedha hali ya kuwa tunapata ruzuku ya zaidi ya Tsh Mil 300 kwa mwezi kwa zaidi ya miaka miwili sasa.

Maajabu ya Tundu Lissu kushangaa na kuhoji eti Tanzania inaidai Acacia trilioni 110 wakati mtaji wao ni trilioni 2.6?
Mbona sasa hashangai na kuhoji Mwenyekiti wake na K.U.B Freeman Mbowe anaidai Chadema Bilioni 7 wakati ruzuku ya Chama hicho ni milioni 300?
Made in Tanzania.
 
Maajabu ya Tundu Lissu kushangaa na kuhoji eti Tanzania inaidai Acacia trilioni 110 wakati mtaji wao ni trilioni 26?
Mbona sasa hashangai na kuhoji Mwenyekiti wake na K.U.B Freeman Mbowe anaidai Chadema Bilioni 7 wakati ruzuku ya Chama hicho ni milioni 300?
Made in Tanzania.
Hayo madai ya bilion 7 yamethibitishwa na nani??? Au propaganda za humu ndio mnazifanya official?? Labda mumuulize mtoa mada aweke ushahidi kivp mbowe amedai hayo mabilion sio hearsay afu mnaconclude
 
Back
Top Bottom