Benson Mramba: Nimeamua kuwa Mwanachama Mfu wa CHADEMA

Mwana , nakupongeza kwa kuelezea ukweli, huyu mwenyekiti viatu sasa havimtoshi tunataka damu mpya. nami naungana na wewe japokuwa bado mwanaharakati, lakini juhudi za Rais wetu zimepindua hoja zote za CHADEMA. Mimi ni Mwanachama ambaye mazuri ya Magufuri nayasifia kwani lengo letu kuu sio kuchua tu nchi bali maendeleo kwa kila mtanzania. Wanachadema wote tumuunge mkono Rais pale suala linapokuwa la maslahi ya nchi.
 
Unakuwa mufu wa chama chako kwa ajili ya utendaji wa Magufuli wakati uhai Wako ndani ya chama chako ndio unaomfanya Magufuli afanye haya anayoyafanya,wewe ukiwa mfu na mwingine akawa mfu mwisho wote wakawa watu,utendaji wa Magufuli utakuwepo tena kama siyo na yeye kuwa mfu kiutendaji na kuturudisha kwenye enzi za kudumisha fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM.
 
Ili la mbowe kuidai chadema limeanza Tangu aliposhika madaraka ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema.Siku akiondolewa kwenye iyo nafasi na siasa ata acha. Mbowe si mwanasiasa Ila mtu anayetengeneza fursa na kuzitumia.
 
Ulitaka ww uwe katibu mkuu lkn inawezekana ulikuwa na vyeo vyote hivyo lkn uelewa zero ,huradhimishwi kama ulivyoingia pia toka hivyohivyolbd huko utakuwa mkuu wa wilaya au tarafa.
 
Naona watu waneona fursa kwa kujitangaza kumuunga mkono Rais....ili wapate tu uteuzi....
Kuhusu Chadema sifikirii kama kutakua na impact kubwa sana sababu walikuwepo wakina Slaa...nchi nzima alijulikana....alitoka watu wakaendelea,Zito Zuber Kabwe kaenda Act...bado watu wamo.....kwa hiyo kisiasa hakuna impact yoyote
 
Hongera kwa maamuzi binafsii..
Usisahau ulikuwepo na kabla yako alikuwepo mwingine...
Hata Dr. wa Slaa aliingia mitini na safarii iliiendelea

Safari njema ex kada..
 
Hayo ni maamuzi yako, yaheshimiwe. Sidhan kama impact yako itakuwa kubwa maana walishatoka akina Zitto na Slaa ngoma ikabaki vile vile
CHADEMA hii ya akina Lissu ndo unasema ngoma imebaki vilevile?
 
Hongera kwa maamuzi binafsii..
Usisahau ulikuwepo na kabla yako alikuwepo mwingine...
Hata Dr. wa Slaa aliingia mitini na safarii iliiendelea

Safari njema ex kada..
Safari iliendelea ingawa ilibadilisha MWELEKEO.
 
Back
Top Bottom