Benson Mramba, Mbowe hawezi kukujibu wewe hata makao makuu hakuna aliyekufahamu

Tunafahamu mengi sana kuhusu Benson Mramba , mchumia tumbo asiye na shukrani lakini kwa sababu za maadili na heshima ya JF hatutaweka hapa jukwaani kwa sasa .
 
Japo huwa sipendi kumzungumzia mtu ila huyu jamaa Benson Mramba kwa siku anaandika thread kuanzia tano na kuendelea zote za kumtuhumu Mbowe. Huwa najiuliza hana mambo ya msingi ya yeye kuyafanya kama kijana?. Kwa aina ya vijana kama hawa nchi yetu bado ina safari ndefu kufikia maendeleo ya kweli. Kupanga ni kuchagua, naona yeye kaamua kuwa mpumbavu.
Inaonekana hana shughuli ya kufanya nje ya siasa na bahati mbaya siasa zenyewe haziwezi anabaki kuhangaika tu kama kuku aliekatwa shingo
 
Daaah so sad ila hii nguvu kama angeitumia kutafuta maarifa mengine ya kumletea maendeleo hakika ingemsaidia.
 
Japo huwa sipendi kumzungumzia mtu ila huyu jamaa Benson Mramba kwa siku anaandika thread kuanzia tano na kuendelea zote za kumtuhumu Mbowe. Huwa najiuliza hana mambo ya msingi ya yeye kuyafanya kama kijana?. Kwa aina ya vijana kama hawa nchi yetu bado ina safari ndefu kufikia maendeleo ya kweli. Kupanga ni kuchagua, naona yeye kaamua kuwa mpumbavu.
Njaa inamsumbua
 
Jamaa ni jobless ana njaa sana kwa jinsi anavyosugua benchi pale lumumba kusubiri jina kama litatoka kwenye uteuži anaweza kula nyasi kama mbuzi
 
Wasalaam ndugu zangu!

Naomba tu kujaribu kumwelekeza au kumfunda hekima kijana mmoja anayejiita Benson Mramba na kujitanabahisha kua alikua afisa wa chama makao makuu, huyu kijana ni muongo ambaye anaonekana yupo amejipa kazi mwenyewe ya kuhangaika na mwenyekiti wa Chadema taifa Mh Mbowe na wala hajatumwa na mtu yeyote, anajaribu kujitaftia umaarufu kitu ambacho hakiwezi kamwe.Who is Benson Mraba? Alikua anafanya kazi gani makao makuu mbona hasemi? Asidanganye watu, tunamfahamu kua aliwahi kua mfuasi wa Chadema aliyekua anajaribu kujiweka karibu na baadhi ya viongozi wa makao makuu Chadema, asidanye watu hakua na wajibu mkubwa makao makuu kama anavyodai. Kama ni kazi ilikua akijipendekeza kwa baadhi ya viongozi hao kupewa kazi ya ukarani kwa muda tu.

Mramba anajaribu kujipa kazi yeye binafsi kukichafua Chadema na Mwenyekiti taifa ili angalao baadhi ya viongozi wa CCM alikohamia wamuone na wampe kazi hiyo rasmi, kwa bahati mbaya sana hii kazi hawezi kwa sababu Mbowe hawezi kumjibu na hata Msemaji wa Chama Tumain Makene hana muda wa ajabu ajabu kumjibu huyu.

Nimshauri huyu ambaye namfananisha na Jamaa yangu moja aliyetoa NCCR na baadae akawa anaandika sana vitu ambavyo havieleweki ajikite kujenga hoja zenye kulenga ujenzi wa taifa na kutoa ushauri kwa Chama chake ambacho anakiita ni kipya, atumie busara kidogo kujipendekeza kwa viongozi wa Chama chake kipya kama alivyokua akifanya Chadema kwa kushauri mambo yenye tija na sio kila siku Mbowe!Mbowe!

Mbowe hawezi uacha kazi yake kubwa ya ujenzi wa Chama kwa kelele za watu kama hawa ambao kwanza sio wanachadema na hawajui. Uenyekiti wa Mbowe Chadema utakoma siku wanachama waliompa ridhaa ya kitu wakiamua.

Yangu ni hayo kwa kijana wangu huyu,nampa ushauri atafte fursa za kujiajiri zipo nyingi tu kuliko kuumiza kichwa na mambo ambayo wenye uwezo waligonga mwamba.
Hiyo ndio mnadai demokrasia,kama wenyewe hamtaki mwenyekiti wenu asijibu hoja hadi mwenye hoja amfahamu kweli mtafika,kwa ''ukoloni'' huu si ajabu hiyo SACCOS ya Mbowe itakufa,kila anayetoa fikra tofauti na Mbowe basi hastahili,mbona sijawahi kusoma kwa wale wanaomsifia kuulizwa kama Mbowe anawafahamu hadi wamsifie,hiyo SACCOS hakika ipo ICU,ni muda tu mtakaja shtuka hamna tofauti na NCCR ya Mbatia au chama cha Zitto hadi nimekisahau jina
 
Wasalaam ndugu zangu!

Naomba tu kujaribu kumwelekeza au kumfunda hekima kijana mmoja anayejiita Benson Mramba na kujitanabahisha kua alikua afisa wa chama makao makuu, huyu kijana ni muongo ambaye anaonekana yupo amejipa kazi mwenyewe ya kuhangaika na mwenyekiti wa Chadema taifa Mh Mbowe na wala hajatumwa na mtu yeyote, anajaribu kujitaftia umaarufu kitu ambacho hakiwezi kamwe.Who is Benson Mraba? Alikua anafanya kazi gani makao makuu mbona hasemi? Asidanganye watu, tunamfahamu kua aliwahi kua mfuasi wa Chadema aliyekua anajaribu kujiweka karibu na baadhi ya viongozi wa makao makuu Chadema, asidanye watu hakua na wajibu mkubwa makao makuu kama anavyodai. Kama ni kazi ilikua akijipendekeza kwa baadhi ya viongozi hao kupewa kazi ya ukarani kwa muda tu.

Mramba anajaribu kujipa kazi yeye binafsi kukichafua Chadema na Mwenyekiti taifa ili angalao baadhi ya viongozi wa CCM alikohamia wamuone na wampe kazi hiyo rasmi, kwa bahati mbaya sana hii kazi hawezi kwa sababu Mbowe hawezi kumjibu na hata Msemaji wa Chama Tumain Makene hana muda wa ajabu ajabu kumjibu huyu.

Nimshauri huyu ambaye namfananisha na Jamaa yangu moja aliyetoa NCCR na baadae akawa anaandika sana vitu ambavyo havieleweki ajikite kujenga hoja zenye kulenga ujenzi wa taifa na kutoa ushauri kwa Chama chake ambacho anakiita ni kipya, atumie busara kidogo kujipendekeza kwa viongozi wa Chama chake kipya kama alivyokua akifanya Chadema kwa kushauri mambo yenye tija na sio kila siku Mbowe!Mbowe!

Mbowe hawezi uacha kazi yake kubwa ya ujenzi wa Chama kwa kelele za watu kama hawa ambao kwanza sio wanachadema na hawajui. Uenyekiti wa Mbowe Chadema utakoma siku wanachama waliompa ridhaa ya kitu wakiamua.

Yangu ni hayo kwa kijana wangu huyu,nampa ushauri atafte fursa za kujiajiri zipo nyingi tu kuliko kuumiza kichwa na mambo ambayo wenye uwezo waligonga mwamba.
Sijui nawe ndoyo kama yeye, ama umeajiriwa na Mbowe kuja mjibu Benson.

Sidhani kama ccm hawajui wadhifa aliokuwa nao chadema. Vilevile sidhani chadema kikampokea mtu anayejipa position za uongo ccm. Hivi vyama vinajuana, na watu muhimu wote wanawajua.

Ndugu kwa hili umefeli lete nyingine
 
Ni kweli Mbowe kafanya kazi kubwa kukijenga chama ila wanasema ukitaka kwenda kwa mwenzio ni lazima utoke kwako!
Mbowe anapaswa ajitathmini sana ili atengeneza demokrasia nzuri ndani ya chama kwa sababu kawa mwenyekiti kwa muda mrefu.
Hili linatia shaka kwani linatengeneza taswira mbaya.
Ukishindwa kujenga kwako huwezi jenga kwa mtu.
 
Ukweli anaoutoa unawachoma hadi mnamkana.. ole wenu mumpotezee kama akina Ben.. mtapigwa bakora kali na Mola.. siku zenu zaja..

Kiki anaipata hata na mie nimeshamnoti... eeeeh

Acha wivu..
 
Back
Top Bottom