Benson Bana na Said Mkumba wako wapi?

Benson Bana na Said Mkumba wako wapi?

Hawa watu ni wanasiasa waandamizi katika nchi hii, mmoja alikuwa mbunge Wa bunge LA Tisa na mwingine alikuwa mchambuzi mahili Wa siasa katika awamu ya nne.
Kwa sasa hivi wapo wapi watu hawa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaitwa SAID JUMA NKUMBA (siyo MKUMBA) ni DC Geita kahamia Juzi tu kutoka Ukombe.
Prof BANA anaendelea na Ubalozi Afrika Magharibi
 
Back
Top Bottom