Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.
Njaa
Kwani hawezi kufanya shughuli nyingine za kujiajiri kama wanavyohamasisha kwa vijana wetu?
 
Mlio karibu nae mwambieni anakoelekea atajikuta sarawali imetundikwa ukutani huku kipande cha nyama ngumu kimemuingia kinamtilia maji ya moto tumboni.

Malisa siyo wachaga hao sasa mchaga wa wapi huyu analia lia hivi badala atafute gun aende zinakokusanywa hela abebe?
 
Mpuuzi mwingine huyu
 
AIBU KABISA KABISA! 👃🦨💩💨🤧😮‍💨🥵😝🤮
 
Kujifanya kuvaa nguo za kijeshi na kuwasha vimulimuli kuwatisha raia kama yeye ni bonge la kiongozi nchini!
Bure, hovyo hovyo KABISA KABISA KABISA 🤬 👺 🤬 👺 🤬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…