carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 286
- 658
Aje tujiajiri week tu ashaona kitaa kigumuAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.
Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.
Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.
Kwa alikosea nini maana ameweka wazi kuwa kuna kosaAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.
Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.
Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.
Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake
Sio lazima wote tuwe viongozi. Sio lazima wote tutafanya kazi serikalini.Aje tujiajiri week tu ashaona kitaa kigumu
Yaani sielewagi. Yaani mwanaume mzima unalia lia tena hadharani kisa kujipendekeza na madaraka. Ni bora nilie kwa mke wangu aiseeAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.
Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.
Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.
Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake
Aliteleza nini?Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.
Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.
Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.
Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake
Njoo tupigwe na joto wote huku mtaani acha woga wewe...Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.
Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.
Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.
Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake
Jikaze kidogo basi wewe mtoto wa kiume unategemewa na ukute unaitwa baba.. ati fuq fuq huku nyuma pyu pyu uwazi kama ballon ninavuja upepe. fuckn puzzyKwani alifanya kosa gani?
Anyway, huo unyonge wa kipumbavu ndo anaoupenda muuaji Samia.
Anapenda kuombwa radhi hadharani. Ni jambo linalompa furaha na kumfanya ajione ana nguvu nyingi.
Ukweli wa mambo ni hana lolote. Ana akili ndogo. Ni muuaji.
Namchukia sana. Fuq you Samia. Fuq you.
Awahi achukue vocha za kilimo kwanza.Msimu umekaribia.Njaa mbaya sana.
Asiwe mvivu aje huku tulime kilimo kinalipa sana aisee.