Beno Kakolanya ampa makavu mchambuzi uchwara David Felician

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,199
103,733
Screenshot_20201018-054906_Chrome.jpg

Mwandishi uchwara aliandika hivi

Screenshot_20201018-054922_Chrome.jpg

Beno akamchana
 
Huyu mchezaji hajitambui. Baadala ya kuchukua challenges zikawa opportunities
challenge zipi alizotoa mwandishi hapo. Huyo mwandishi alikuwa anashangaa kwa nini Beno hajapangwa hata mechi ya jana ya kirafiki. Hakujipa hata dk 1 ya kujua chanzo. Mashabiki wakamjibu kuna mechi walicheza asubuhi na yeye alikuwa golini.
Swali la msingi ni kwamba watakaa golini wote wawili? Timu ina wachezaji 28,wacheze wote.
 
View attachment 1603612
Mwandishi uchwara aliandika hivi

View attachment 1603613
Beno akamchana
Mwandishi kawasilisha anachokiamini, lakini binafsi niliyaona makosa ya wacjezaji 2. Beno na Gadiel. Mchaezaji aloyechemka zaidi ni Gadiel maana hakufikiria kabisa anakokwenda anakwenda kuwa nani? Matokeo yake kaacha nyumba yake kaenda kupanga. Beno ni miongoni mwa vipaji halisi vya kitanzania, Lakini ameua kipaji kwa kukosea kuchagua. Najua wazi na nilimsema kocha aliyekuwepo kwamba anakosa sifa moja kubwa ya kuwa "Mlezi", akamkataa mchezaji kwa kosa la kudai haki yake hata kama hakutumia njia sahihi za kistaarabu. Hata hivyo alichokifanya mchezaji ilikuwa kama kuunga juhudi ushabiki wa Simba na Yanga, akakubali kutumika kama chombo cha siasa za mpira. Hakujali yeye atakuwa nani Simba, akakubali kuwa mke wa pili. Tuwapende wachezaji wetu lakini wanapokosea tuwaambie ukweli. Leo De Gea anaweza kwenda Liverpool kuwa msaidizi wa Allison? Hatuoni wenzetu hata nafasi yake uwanjani inaweza kuwa sehemu ya mkataba wake.
 
challenge zipi alizotoa mwandishi hapo. Huyo mwandishi alikuwa anashangaa kwa nini Beno hajapangwa hata mechi ya jana ya kirafiki. Hakujipa hata dk 1 ya kujua chanzo. Mashabiki wakamjibu kuna mechi walicheza asubuhi na yeye alikuwa golini.
Swali la msingi ni kwamba watakaa golini wote wawili? Timu ina wachezaji 28,wacheze wote.
Soma vizuri maandishi ya huyu mchezaji utanielewa
 
Huyu dogo me namjua kitambo kabla hata hajaanza kufanya kazi na Shaffih Dauda.

Ni shabiki wa Yanga na demu wake anaitwa Ela kadem flani kahaya nacho kashabiki ka yanga.
Beno alikuwa hana hata haja ya kumjibu Davi ni dada tu.

Sheria za JF zingekuwa zinaruhusu naweka picha ya kadem chake hapa mcheke sanaa
 
uweke picha ili unufaike na nini? punguza umbea p**bav
Huyu dogo me namjua kitambo kabla hata hajaanza kufanya kazi na Shaffih Dauda.

Ni shabiki wa Yanga na demu wake anaitwa Ela kadem flani kahaya nacho kashabiki ka yanga.
Beno alikuwa hana hata haja ya kumjibu Davi ni dada tu.

Sheria za JF zingekuwa zinaruhusu naweka picha ya kadem chake hapa mcheke sanaa
 
Ao wachezaji ni wapumbavu, Kama wangekua wanajitambua wangeomba watolewe kwa mkopo ili wawe wanacheza, ukicheza marakwamara kiwango kina imarika na unaweza kuitwa timu ya Taifa, ukiwa timu ya Taifa na unacheza nafasiyako ya kupata timu nje ya nchi inakua kubwa sana. Kwasasa wanakaa bench na mpirawao unakufa. Ni Jambo la kuhuzunisha kipaji Kama Cha beno kinaoza, ana nafasi ya kufika mbali Kama akijitambua.
 
Huyu dogo me namjua kitambo kabla hata hajaanza kufanya kazi na Shaffih Dauda.

Ni shabiki wa Yanga na demu wake anaitwa Ela kadem flani kahaya nacho kashabiki ka yanga.
Beno alikuwa hana hata haja ya kumjibu Davi ni dada tu.

Sheria za JF zingekuwa zinaruhusu naweka picha ya kadem chake hapa mcheke sanaa
kutaka kumshambulia personally kunamaanisha anachosema ni sahihi na umekosa hoja za kumjibu.
 
Kama aliyeko bench simba anavuta mpunga wa maana kuliko aliyeko golini Yanga shida iko wapi pesa kwanz mengine badae
mpira sio sawa na ualimu au utumishi wowote ule kwamba hata usimamishwe kazi na mshahara unaupata fresh tu. Kwenye mpira inatakiwa ucheze ili ufikiriwe tena mkataba utapoisha. Unafikiri Simba wataoffer pesa sawa na ile waliyotoa kwa hao wachezaji pindi mikataba yao inapoisha? Kwa mchango gani waliouonesha kwenye timu?
 
Aiseee ila Waswahili sisi tunajua sana kuwapangia wengine maisha yao.

1.Nianze ha huyo Mwandishi;yeye yuko tayari kuendelea kufanya kazi hapo kwenye kituo cha habari bila kulipwa mshahara na stahiki zake nyingine? Fedha kwake si kitu ilimradi anapata nafasi ya kuandika gazetini/kutangaza luningani na kusifiwa kwamba yeye ni Mwandishi mahiri? Ukisikia sifa za kijinga ndo kama hii sasa.

2.Hivi mnajua mipango ya Beno ni ipi? ndo maana ana hasira kwasababu mnajifanya mpo kichwani mwa mtu na mnajua mipango yake ya baadaye. Ni hivi:si kila mchezaji anataka namba kwenye first eleven au nafasi nyingi za kucheza, wengine wanataka mshahara tu ili uwasaidie kufanya future investment baada ya maisha ya soka, na pale Simba Beno anaenjoy mshahara mnono tu na kupitia huo ana miradi mingi tu anafanya kwa sasa, na baada ya miaka kadhaa itakuwa inamwingizia fedha ya kutosha.

Najua hutakubaliana na mimi katika hoja yangu namba 2 hapo ☝.Lakini ukweli ni kwamba kuna wachezaji leo wana-focus zaidi maisha ya baadaye kuliko sifa za kucheza kila siku na kuonekana kwenye first eleven. Kwani wangapi walikuwa wanacheza kila mechi ila leo ni hohehahe na ombaomba was kutupwa? Mpira ni pesa na malengo ya mbeleni huko. Hiyo nafasi ya kucheza huku hulipwi mshahara kaitumikie wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom