Tatizo vitu vinavyohusu wanawake vinafanywa kwa minajiri ya kushindana na wanaume na kuwakuza wanawake, haiwezi kufanikiwa wala kusimama kwasababu uumbaji wa Mungu unamtambua mwanaume ndo kinara na mwanamke daima awe mtu wa pili.Nimefika Mang'ula leo nashangaa benki ya wanawake ikijinabu kuwa inafufuka upya kwa kuunda makundi kila kata mkoani morogoro nmejiuliza wakiunda vikund watapataje mikopo?
Lakinibkwa kuws na ofisi dar hiii benk sio,inawatendaji kweli weny weredi?