Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 581
- 913
NMB please msiniingize majaribuni na sina tamaa kwa pesa ambayo siyo haki nayo na jasho langu, kuweni makini mtakuja kukosea kwa vishoka hatimaye kiwe kilio kwenu. Jana (Agosti 7, 2026) mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika 45 hivi ndo mkairudisha.
Jana benki hiyo ya Serikali imenifanya nimekuwa Trilionea kwa nusu saa Asante sana NMB!
Jana benki hiyo ya Serikali imenifanya nimekuwa Trilionea kwa nusu saa Asante sana NMB!