Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,039
Uko serious kweli? Au unaleta utani?Ukraine uchumi wake unaimarika pamoja na vita lakini baba yako mrusi anadidimia kiuchumi haji juu tena
Uko serious kweli? Au unaleta utani?Ukraine uchumi wake unaimarika pamoja na vita lakini baba yako mrusi anadidimia kiuchumi haji juu tena
Mkuu,hawa wanadhani ile Nchi itajengwa kwa hela za Tozo.Kuna pesa ya kutosha tena hiyo hiyo ya Russia iliyokuwa frozen ndiyo itaijenga Ukraine kwa haraka sana.Hata baada ya miaka 3,Ukraine itakuwa inatuzidi sisi hapa mara 100 japokuwa watakuwa bado wanaendelea na kujenga Nchi yao upya.Sio ulaya wewe pale wakiamua nimakampuni yanapewa tenda sio Kwenu Tz wanajenga wananchi serikali inamalizia kupaua
Ukraine haitajengwa na pesa za tozo,hilo unapaswa ulitambue.Baada ya miaka 5 ya vita watakuwa wametuzidi mara 100 sisi hapa ambao hatujawahi hata kuwa na vitaYale magofu hadi yarudie hali yake ya awali sio leo
......wametudanganya hawatwambii tozo yenyewe ikowap inafanya nn pesaUkraine haitajengwa na pesa za tozo,hilo unapaswa ulitambue.Baada ya miaka 5 ya vita watakuwa wametuzidi mara 100 sisi hapa ambao hatujawahi hata kuwa na vita
Huo ulinganifu uetoka wapi? kuna swali kama hilo nimeuliza? eastern europe ni maskini tuone nchi ambazo hazijapigana vita kama zitakuwa tajiri baada ya miaka hiyo mitanoUkraine haitajengwa na pesa za tozo,hilo unapaswa ulitambue.Baada ya miaka 5 ya vita watakuwa wametuzidi mara 100 sisi hapa ambao hatujawahi hata kuwa na vita
Uchumi unakuaje wakati wa vita?This is insane,yaani mpaka Sasa zaidi ya watu million 10 wamekimbia nchi halafu uchumi ukue?Ukraine uchumi wake unaimarika pamoja na vita lakini baba yako mrusi anadidimia kiuchumi haji juu tena
Si bora wao wanajua walau hata wanakopeshwa kwa sababu gani? Wewe hapo unalipa mikopo ya IMF na WB na hata hujui kwa nini ilikopwa au unadhani hapo hulipi madeniHao bank ya dunia hawajawahi kutoa ela bure hao wayukreini watalipa hizo ela miaka miamoja
hapo sasa......wametudanganya hawatwambii tozo yenyewe ikowap inafanya nn pesa
Swali zuri., pamoja na vita lakini demands za wa Ukraine ziko pale pale mahela wanayomiminiwa kila leo na zaid kwamba ukraine vita ikiisha leo basi watajenga na kuirudisha nchi yao wamekiri Lakini russia tumeambiwa hapa mtandani kwa kila siku ya vita wanatumia $20m, jumlisha na vikwazo ambavyo kila leo west wanakaa na kubuni ni kipi hasa cha kuwabana, miradi mingi ambayo waliwekeza ualaya na fedha nyingi walizowekeza sasa zimetaifishwa, si hasha Ukraine wanatumia hela za Putini huyo huyo anayewapiga vitaUchumi unakuaje wakati wa vita?This is insane,yaani mpaka Sasa zaidi ya watu million 10 wamekimbia nchi halafu uchumi ukue?
Bado hujajibu swali,nguvu kazi ya uzalishaji Ukraine imekimbia,wanawake wameondoka,wanaume belowa 50 wanalazimishwa kushika silaha kuipigania nchi!Shughuli nyingi za uzalishaji zimesimama,misaada inayopewa Ukraine ni Kwa ajili ya silaha,fedha za kulipa wanajeshi,watu wa afya na huduma nyingine ndogo ndogo za kibinadamu!Swali zuri., pamoja na vita lakini demands za wa Ukraine ziko pale pale mahela wanayomiminiwa kila leo na zaid kwamba ukraine vita ikiisha leo basi watajenga na kuirudisha nchi yao wamekiri Lakini russia tumeambiwa hapa mtandani kwa kila siku ya vita wanatumia $20m, jumlisha na vikwazo ambavyo kila leo west wanakaa na kubuni ni kipi hasa cha kuwabana, miradi mingi ambayo waliwekeza ualaya na fedha nyingi walizowekeza sasa zimetaifishwa, si hasha Ukraine wanatumia hela za Putini huyo huyo anayewapiga vita