FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Ordinary commons, nothing new alichosema,
Benki ya Dunia imeandaa semina kuzungumzia
Semina hii ya Benki Kuu imewaandaa watoa mada
Abadili msimamo kivipi au mnataka awaachie muendelee kuiba?je mjadala kama huo utabadili chochote kwenye misimamo ya magufuli
Mhh mngejua World Bank iko kwa ajili ya maslahi ya kina nan wala usingeshobokea huu mjadalaNi mjadala mzuri ktk kubadili fikra za watanzania ambao hawaelewi mantiki ya hapa kazi tuu
naona kila kitu unajua weweMhh mngejua World Bank iko kwa ajili ya maslahi ya kina nan wala usingeshobokea huu mjadala
kwa nini unasema Tz inanafasi ndogo katika maendeleo ya Afrika???Tanzania nafasi yake ni ndogo sana kwa maendeleo ya afrika, tuwaachie Nigeria, south afrika n.k., tulisaidia ukombozi wa afrika basi imetosha sasa tuboreshe maisha ya watanzania
kwa nn huna imani na Mukandala??Mungu ibariki Jf , ila sina imani na Mukandala
Mkuu nimekupata vizuri sanaNakumbuka zamani mnaenda kucheza mpira wa cha ndimu, mmojawapo wa wachezaji ndo mko uwanja wa kwao na mpira ni wa kwake, akichezewa vibaya katika harakati za kucheza basi anaweka mpira kwapani na mechi imeisha, hivyo inabidi mcheze kwa tahadhari sana, hakuna kumgusa au kumkwatua
toa mifano basi ya mifumo mibovu tuliyoirithi ili tusaidiane kuelewaKwa Afrika bado sana na sababu ni nyingi ila Kuu ni Migogoro ya kujitengenezea/ uchu wa madaraka na Mifumo mibaya tuliyo jiwekea ktk Nchi zetu za Afrika ktk kujiletea Maendeleo.
Tumerithi Mifumo mingi (isiyo na Tija)ya Kikoloni na bado tunaitumia ktk karne hii ..
haaaa aaaaa haaaaaa Nyoka alambi ungaa, hapo HAMNA HATA KUMI chezea JPM weyeHii imeandaliwa ili watu wale posho tu..,
Acha mijadala ifanyike tujue tunakosea wapi ili tuendelee kama TaifaBenki ya Dunia inatuchora tu, Huo(semina) ni mlango wa nyuma kujua mipango yetu tu na sio kutusaidia. Why now? What then? Maneno matupu tu. Nchi itajengwa na wananchi wenyewe, Tupambane na hali yetu. Action speak.
Anao uzoefu wa kupika data ili kuokoa chama chakekwa nn huna imani na Mukandala??
Asante mkuuMkuu nimekupata vizuri sana
Lakini huo ni MJADALA wa KISOMI katika Mazingira hayo UCHAMA unatoka wapi ndugu?? pia ilo tangazo linasema yeye atakua ni mwenyekiti wa Mjadala sasa hizo data atazipika katika mazingira gani???Anao uzoefu wa kupika data ili kuokoa chama chake
Ndugu yangu watu wengine wako kwa ajili kupinga tu......Lakini huo ni MJADALA wa KISOMI katika Mazingira hayo UCHAMA unatoka wapi ndugu?? pia ilo tangazo linasema yeye atakua ni mwenyekiti wa Mjadala sasa hizo data atazipika katika mazingira gani???
Unamfahamu Mkandala ? Uliambiwa Mwenyekiti hatoongea ?Lakini huo ni MJADALA wa KISOMI katika Mazingira hayo UCHAMA unatoka wapi ndugu?? pia ilo tangazo linasema yeye atakua ni mwenyekiti wa Mjadala sasa hizo data atazipika katika mazingira gani???