....Kama kawaida yenu always ukweli hamuutaki. Kama hawa hawa WB wangesema ni rahisi kuwekeza TZ mngekenua meno na kuwazomea akina Zitto. Halafu majuzi Dangote kasemaje kwani kuhusu hili?Benki ya dunia inamilikiwa mabepari wachache na sio lazima wawekeze tanzania ndio iwe kipimo cha mazingra bora
Benki ya dunia inamilikiwa mabepari wachache na sio lazima wawekeze tanzania ndio iwe kipimo cha mazingra bora
Benki ya dunia inamilikiwa mabepari wachache na sio lazima wawekeze tanzania ndio iwe kipimo cha mazingra bora
Hawana huruma kama wako tayari kutoa hata roho ya bidanamu mwenzao kwa sbu tu ya kulinda cheo au kutotaka kukusolewa kuchoma moto hivo vifaranga kwao ni kitu kidogo sanaDah bora hata lingekua dume asee... Sasa kadem ka watu kamejikwamua unakuja kukachomea vifaranga wake...kweli watu wana roho ngumu!!
Hebu fikiria mdada wa miaka 23 kaamua kuipunguzia serikali idadi ya waomba kazi kwa kuwekeza kwenye kuku lakini kaishia kurudishwa kwenye sifuri (kama sio negative) baada ya mtaji wake wa Tsh. 12.5m kuteketezwa!
Penye concept ya uwekezaji makini unaangalia amefanya kosa gani na kwa makusudi gani then mnarekebisha kwa kumuonya ili uchumi ukue. Lakini kiuhalisia Tanzania inaipa mashiko hoja ya huyu Mmari Kennedy/World Bank.
Magu ana kazi moja tu nchini nayo ni kuua uchumi uliotengenezwa kwa gharama kubwa na watangulizi wake.
Yeye magu anaushusha kwa mshahara wa cheap popularity.
Unauhakika kuwa hawakuangalia kosa lake? Je hakujua kuwa afanyalo ni kosa?? Zama hizi uwekezaji wa kuvunja sheria na taratibu za inchi hautakiwi, upige pesa wwe wengine waumie eti kwa kisingizio umejiajiri huo ni ujinga kabsa, Raisi piga kazi kura yangu 2020 ni uhakikaHebu fikiria mdada wa miaka 23 kaamua kuipunguzia serikali idadi ya waomba kazi kwa kuwekeza kwenye kuku lakini kaishia kurudishwa kwenye sifuri (kama sio negative) baada ya mtaji wake wa Tsh. 12.5m kuteketezwa!
Penye concept ya uwekezaji makini unaangalia amefanya kosa gani na kwa makusudi gani then mnarekebisha kwa kumuonya ili uchumi ukue. Lakini kiuhalisia Tanzania inaipa mashiko hoja ya huyu Mmari Kennedy/World Bank.
Acheni kukopa kwao sasaBenki ni genge la wezi ti
Watakuwa wameshtufikisha Zimbabwe.Mtakapo pata akili na maarifa it will be too late.
....Maneno miiiiiingiiiiiKorea ya kaskazini wapo sawa kabisa lakini benki ya dunia imewawekea vikwazo japo wanatetea maslahi ya wakorea. So WB ni wanafiki sana ikiwa unasimamia sheria vizur ukawa unawabana wasipate maslahi yao basi wewe haufai kwa uwekezaji.