Benki ya Dunia: Mafukara waongezeka Tanzania

Benki ya Dunia: Mafukara waongezeka Tanzania

Ripoti za Benki ya Dunia ni ripoti za kibeberu na zenye lengo la kukandamiza nchi ambazo zimeamua kujitambua. Kama wewe hujajitambua utasifiwa kila siku. Ni sawa na mwanamke malaya kinachomfanya aendelee kuwa malaya ni kila mwanaume lzma amsifie. Sasa kama wewe siyo malaya kwa nini usifiwe ? Ni lini umesikia Marekani anasifia Maendeleo ya China au Urusi ? Kila siku ni kelele tu kama ambazo zimeanza kupigwa na hao unao waamini kuliko wewe unaeishi Tanzania na kushuhudia miradi mikubwa ya maendeleo ikifanyika. Miradi ya Umeme ndy chimbuko la Ustawi wa Viwanda hapa nchini na kamwe hatuwezi kuwa na maendeleo kama umeme wetu siyo wa uhakika.

Anayefahamu shida za familia zako na ni wewe mwenyewe kwa sababu ndy unayeamua kula nini wakati wa asubuhi, mchana na usiku. Mgeni hawezi kukwambia unaishi maisha magumu !!! Huo ni mtazamo wake akilinganisha na namna ambavyo yeye mzungu anaishi.
Toeni basi ya kwenu. Uliza twaweza na report zao sasa wapo wap?
 
Shikamoo Beberu Akuna Wakukupinga Na Kushinda Chini Ya Jua Nimeona Afrika Zim ,Libya, Somalia, Sudan Kz, Na Sudan Ks ,Congo Drc,mashariki Ya Kati ,uraya Mashariki,asia, Na kiongozi Yeyote Akikujaji Wewe Basi Lazima Ayumbe.Na Biashara Ya Utumwa Ulianzisha Wewe Na UKazuia Wewe. Nimekubari Akuna Akuna Ni Mungu Pekee Aliyetuumba
Kwa mwandiko wako tu umeonesha nawe ni fukara wa akili.
 
Kwahiyo waTz tunakuwa mafukara kisa WB wamesema? Na siku wakisema tumekuwa matajiri ndio tunajihisi matajiri? Huu utumwa wa kisaikolojia utaisha lini lakini?
mapato yanapungua vyanzo vya mapato havipo unataka watoe data gani
 
Me hawa WB nawashangaaga sana.
Tena naweza sema bado wanataka watutawale kifikra mafala hawa.
Kipindi cha kikwete nchi ilikua imeongeza madeni na uchumi wake kudorora kiasi cha nchi kuuzwa hii lakin walimsifia kikwete kiongozi bora Africa.
Leo hii atleast Magufuli kafanya kitu mpk ku boost up tz economy hadi 7% mwanzo alipoingia madarakani wanakwambia nchi maskin wanaongezeka na umaskin unaongezeka.
Ndio maana Kagame aliwakebehi hawa jamaa.
Ripot ya bank ya dunia imetoka

Ripot hiyo inaeleza kuwa tanzania ni miongon mwa nchi chache zenye mafukara wa kutupa

Bank hiyo inadai kuwa ndan ya mwaka huu mafukara wameongezeka na kufikia milion 13

Ripory inadai kuwa kas ya kuzalina imeongezeka kushinda kas ya uzalishaji, maisha ya watanzania walio wengi ni magumu kupindukia na mpaka sasa hakuna juhud zozote ambazo zimechukuliwa na selikal ili kupunguza wimbi la mafukara nchini


Kumbuka riport inasema mafukara ndo wameongezeka wala siyo masikin nahisi kuna tofaut kubwa sana kati ya masikin na mafukara, nahisi mafuraka ni wale walala hoi wa mwisho yaan wale masikin wa kutupa



Chanzo ni riport ya world bank na gazet la mwananchi


Mayala B
 
Weka source ya habari yako ili tusome wote tofauti na hapo ni umbea na udaku
 
Back
Top Bottom