Balaa hii.Utalii umeadhirika Kwa asilimia 80.
Watu laki tano hao ni wale waliokuwa na uwezo na wameathiriwa na kurudi kwenye umasikini imagine kwa wale ambao hawakuwa na pesa kabisa nahisi wameathirika zaidi nikiwamo mimi.COVID 19 inazidi kurudisha nyuma juhudi za nchi masikini kujikwamua.
Kwa Tanzania watu 500,000 wamerudi kwenye lindi la umasikini, inasikitisha maana itahitaji nguvu nyingi sana kujitoa tena huko.
Kama jamii tuungane kufuata hatua za kupambana na janga hili ili angalau tusiendelee kupata madhara makubwa zaidi.
Kwa kifupi ajenda ya siasa ya dunia na hata nchini kwa sasa iko driven na hali ya uchumi baada ya kupigwa na Corona. Ni namna gani tunarejesha ajira, kupunguza mnyororo wa umasikini, kupata resources, tutumie vipi zilizopo, tuinue sekta binafsi ikiwemo utalii, kilimo, biashara na Uwekezaji kwa kuvutia mitaji. Sasa leo unakuja na ajenda ya Katiba mpya! Utaonekana kituko tu. Kwa sababu siyo issue ya dharura#Uchumi kwanza.Corona imepiga uchumi wa dunia. Mitaji, biashara zimeyumba, ajira katika utalii, biashara za Kimataifa zimetikiswa. Global political economy kwa sasa ni namna gani ya kurescue sekta ili kupunguza umasikini, kuimarisha sekta binafsi na umma, kutengeneza fursa za ajira, kutafuta na kutumia resources za kunusuru hali.
Hiki nilitegemea kukiona kwa vyama hadi vya upinzani nchini. Badala yake CHADEMA wanakuja na hoja ya Katiba mpya ambayo si ajenda inayoweza kujadili mipango ya dharura kusaidia kampuni za utalii kule Arusha, Kilimanjaro, kusaidia wakulima waweze kurejesha mzunguuko wa biashara, sekta binafsi iamke. Ni muhimu sana wanasiasa wetu wajue ajenda na mahitaji ya watu kwa wakati. #Uchumi kwanza.
Nadhani Chadema wanatest hali baada ya kuwa cornered kwa miaka ya karibu na utawala wa Rais aliyepita. Nikiwaweka wao kwenye uongozi wangeenda na ajenda Lockdown, labda hali ingekuwa mbaya zaidi!Corona imepiga uchumi wa dunia. Mitaji, biashara zimeyumba, ajira katika utalii, biashara za Kimataifa zimetikiswa. Global political economy kwa sasa ni namna gani ya kurescue sekta ili kupunguza umasikini, kuimarisha sekta binafsi na umma, kutengeneza fursa za ajira, kutafuta na kutumia resources za kunusuru hali.
Hiki nilitegemea kukiona kwa vyama hadi vya upinzani nchini. Badala yake CHADEMA wanakuja na hoja ya Katiba mpya ambayo si ajenda inayoweza kujadili mipango ya dharura kusaidia kampuni za utalii kule Arusha, Kilimanjaro, kusaidia wakulima waweze kurejesha mzunguuko wa biashara, sekta binafsi iamke. Ni muhimu sana wanasiasa wetu wajue ajenda na mahitaji ya watu kwa wakati. #Uchumi kwanza.
Kosa lako ni kuwabeza wapinzani wa hapa kudai katiba mpya yenye kuweka usawa kati ya watawala na watawaliwa. Bila katiba nzuri inayodhibiti ubadhirifu na ufisadi na ukanda wa viongozi wetu. Uchumi ni kazi bure.Corona imepiga uchumi wa dunia. Mitaji, biashara zimeyumba, ajira katika utalii, biashara za Kimataifa zimetikiswa. Global political economy kwa sasa ni namna gani ya kurescue sekta ili kupunguza umasikini, kuimarisha sekta binafsi na umma, kutengeneza fursa za ajira, kutafuta na kutumia resources za kunusuru hali.
Hiki nilitegemea kukiona kwa vyama hadi vya upinzani nchini. Badala yake CHADEMA wanakuja na hoja ya Katiba mpya ambayo si ajenda inayoweza kujadili mipango ya dharura kusaidia kampuni za utalii kule Arusha, Kilimanjaro, kusaidia wakulima waweze kurejesha mzunguuko wa biashara, sekta binafsi iamke. Ni muhimu sana wanasiasa wetu wajue ajenda na mahitaji ya watu kwa wakati. #Uchumi kwanza.
WatuacheNiko hapa nasikiliza ripoti ya benki ya dunia, kilichonigusa ni watanzania ambao walishatoka kwenye mstari wa umaskini na Covid19 imeamua kuwarudisha, imani yangu sehemu kubwa ya kundi hili inatoka kwenye sekta ya utalii na nyinginezo zilizofungamana na uchumi wa kimataifa. Hapo bado walioyumba lakini hawajagusa mstari wa umaskini.
Positive, Anguko la Tanzania lina ahueni kulinganisha na nchi zilizotuzungua(Labda policy ya kutojifungia ilitusaidia) though uchumi umeshuka
Hivi Serikali ilishafanya mpango wowote kuwakwamua? Hawa jamaa zetu walishayapatia maisha
Natamani Serikali yetu izingatie mapendekezo haya hasa hapo kwenye msamaha wa kodi.- Tunapendekeza Serikali itoe motisha kwa Wafanyabiashara ikiwemo Msamaha wa Kodi au kipindi cha Neema ili kuvuka kipindi hiki kigumu Baadaye wakati mambo yote yakiwa sawa, tunaweza kuzungumza juu ya changamoto za ushuru, sera na mfumo wa udhibiti
- Tunapozungumza juu ya kuboresha Mazingira ya Biashara, tunahitaji kuelewa jukumu la kila mmoja Serikali ni mtunga Sera na Mdhibiti, sisi ndio Wafanyabiashara tunaohusika na miamala na kodi
Ndugu yangu, nimejaribu kuwassidia. Hata Rais hajabeza issue ya Katiba. Ila nazungumzia 'timing'. Yes to constitution ila si sasa na hata mjadala wake si sasa. Uchumi umepigwa na Corona. Sisi tumshukuru Mungu kumuongoza JPM hatukujifungia hali ingekuwa mbaya sana.Kosa lako ni kuwabeza wapinzani wa hapa kudai katiba mpya yenye kuweka usawa kati ya watawala na watawaliwa. Bila katiba nzuri inayodhibiti ubadhirifu na ufisadi na ukanda wa viongozi wetu . Uchumi ni kazi bure
Naona mapendekezo yao yamejikita zaidi kwenye msamaha wa kodi na kuboresha mazingira ya biashara. Japo ukiangalia kwa jicho fulani unapozungumzia mazingira ya biashara kwa Tanzania huwezi tenganisha na kilimo.Ingawa utalii umeathirika sana na Covid, sekta ya kilimo ndio imekuwa "shock absorber" kwa kiasi kikubwa ingawa nayo imeathirika kiasi hasa kwa ilipokuja suala la usafirishaji wa mazao nje ya nchi.
Nitashangaa sana jukwaa hili la "World Bank" kutoweka mkazo kwenye kilimo. Kama nchi na kwa level yetu ya maendeleo kilimo hakiepukiki kuendelezwa na kusimamiwa vizuri ili kuchangia maendeleo zaidi ya nchi hii.
Extended Families na multiplication effect, Mungu atusaidie.Hiyo 500,000 izidishe mara ( X ) 5 Wastani wa Watu Tegemezi ndani ya hizi Familia zetu hivyo utagundua kuwa huenda 'Figure' ikawa ni Kubwa kuliko hii yao ( yako ) tajwa hapa.