Benki ya Barclays yaigomea serikali, yazima online payment

Technology

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
769
284
Barclays Bank waigomea serikali (kutokana na Suala la VAT component) kwa kuzima online payment (Barclays Integrated System) toka alhamisi na wateja hatupati huduma ya kufanya miamala kwa njia , mtandao badala ya cheque.

Wachukuliwe hatua haraka BOT mpo wapi? Ni mapato kiasi gani serikali inapoteza?
 
Barclays Bank waigomea serikali (kutokana na Suala la VAT component) kwa kuzima online payment (barclays Integrated system) toka alhamisi na wateja hatupati huduma ya kufany miamala kwa njia , mtandao badala ya cheque. Wachukuliwe hatua haraka BOT m wapi? Ni mapato kiasi gani serikali inapoteza?

Una matatizo!
 
umeuliza pale Barclays? au unakuja tu kuropoka....wapigie simu...do your research before uttering such nanihii
Majibu yanayotolewa yako very comflicting na hayana msingi, it is time now kuangaliwa na kuhakikisha wanatimiza wajibu wao.
 
Sheria ya VAT inasemaje?Kama serikali hawakuwa makini benk ina kosa gani?Mabenki yawe na msimamo.
 
Subiri tamko la ma MD wa bank zote Tanzania linakuja soon! Na pia ma MD wa Telecom nao watakuja kivyao! Tusubiri!! Subiri kukurupuka bila kushirikisha wadau....kwa Dr Mipango Kukurupuka! Jimbo lake ni Ikulu! Hana hata huruma!!
 
Barclays Bank waigomea serikali (kutokana na Suala la VAT component) kwa kuzima online payment (barclays Integrated system) toka alhamisi na wateja hatupati huduma ya kufany miamala kwa njia , mtandao badala ya cheque. Wachukuliwe hatua haraka BOT m wapi? Ni mapato kiasi gani serikali inapoteza?
sasa ni kugoma ama kuna matatizo ya kiufundi ?
 
Back
Top Bottom