Huwezi kuwa humble kwenye jambo la kipumbavu....mambo ya ukawa yanahusu nini.....Be humble and simple, life needs thus
Huwezi kuwa humble kwenye jambo la kipumbavu....mambo ya ukawa yanahusu nini.....Be humble and simple, life needs thus
Lumumba sugar mummy ni kushaņgilia madam unauhakika wa saloon
Mara nyingi tu hapo si ndo centre ya kufundishwa kushaņgilia lolote linalofanywa na serkali ya jiwe km mazombie vile.Duh!!!
Lini uliniona ulipopataja?
Una hakika kwamba budgeted profit yao ilikuwa 20bn?Kutoa gawio haimaanishi inafanya vizuri.
Kufanya vizuri maana yake ni nini?
1. Kutenda sawa na mpango na bajeti
2. Kufikia malengo (goals and objectivies)
3. Kutengeneza faida kadri ya uwekezaji uliofanyika
....
....
Sasa kwa mfano, TIB ilitemewa kupata faida ya 20B ambayo ingewezesha kutoa gawio la 10B. Lakini baada ya utendaji mbovu uliosababishwa na utendaji hafifu, imepata 2B na hivyo kutoa gawio la 1B. Hapo utasemaje imefanya vizuri?
Ni mtazamo wangu tu lakini
Yan BOT ni kama Kabudi tu, unaandikaje barua isiyokuwa na paragraph spacing? Awamu ya Jiwe hovyo tu
TIB Corporate in Sh842m profit after clearing losses
TIB Corporate in Sh842m profit after clearing losses
TIB Corporate Bank has cleared the quarterly losses to make a profit of Sh842 million during the third quarter of this year, from a loss of Sh1.29 billion recorded during a similar quarter last year.mobile.thecitizen.co.tz
Kuna kitu hatuambiwi. Sio kweli kwamba benki hii haina mwenendo mzuri. Nyabundege amepewa shukrani ya punda baada ya kufanya kazi nzuri. Hebu angalia performance yake:Una hakika kwamba budgeted profit yao ilikuwa 20bn?
Hakika Nyabu ana vyeti vya kutosha na jina lake ni hilo hilo!Frank Nyamundege ana vyeti na namjua vizuri
Ana Advanced Diploma in Accountancy ( IFM)
Ana MBA( corporate mgt)- Mzumbe
Amefanya kazi KBC kwa mafanikio
Ni kijana mchapakazi hapa kuna ka ajali tu na fitna ndogo ndogo ila ni mtendaji mzuri
Be happyBe humble and simple, life needs thus
Ukiona inakupendeza basi yote heri....Tuanze kwanza.. unaniongelea mimi au?
Naona unakomalia neno Msukuma bila kujua baadhi yetu tunafahamu mwenendo wa siasa za sasa. KUna kipindi Upinzani ulilaumu sana CCM kuwazushia mambo ya Kikabila na kidini. Lakini, naona wao pia wanaanza kuegemea kutukana wasukuma. Hii itawagharimu bila kujitambua.Wala syo kufilisika tu bali kuna msukuma mwenzetu ni lazima achukue nafasi.
Ni utaratibu tu palipo na msukuma apande cheo maana ni zamu yetu
Naona unakomalia neno Msukuma bila kujua baadhi yetu tunafahamu mwenendo wa siasa za sasa. KUna kipindi Upinzani ulilaumu sana CCM kuwazushia mambo ya Kikabila na kidini. Lakini, naona wao pia wanaanza kuegemea kutukana wasukuma. Hii itawagharimu bila kujitambua.
Nafahamu laana ya kuwalaani wasukuma,itakavyovuma na kuanza kuwameza. Hata wasiohusika watawageuka.
Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya 2006 section 33Kwani uteuzi wa mkurugenzi wa TIB unafanywa na BOT?
Ni yule kijana mdogo mdogo hivi?
Aisee.
Sijui kama ulinielewa! Ubaguzi wa aina yoyote ile ni tatizo na nguzo ikiondoka lazima muumie. Nilionya juu ya hao unowaita wasukuma. Unajenga uadui bila sababu. Baadhi unaowaita wasukuma, siyo wasukuma. Makundi unayojumuisha kuwaita wasukuma wakikusanyika na kukugeuka, hutadumu popote!Mkuu hata wakwere walilaumiwa ila wakaziba masikio, kilichowakuta baada ya jk kuondoka kiko wazi, sasa kitakachowakuta sisi wasukuma ni janga, maana iko wazi, huwezi kulipiza kisasi halafu aje mwingine acheke kama zuzu.
Wa kwanza na narudia kusema ni Dotto James.wa pili makonda na kichaa musiba.Msidhani watu hawaoni na usidhani sote tu wapumbavu,
Wapumbavu ni wateule wa mtukufu pekee na wameridhia,
Precedence inayojengeka haitawaacha salama, huwezi tuhumu wengine ETI wameharibu nchi wakati wewe unafuja fedha za watanzania watu wanakuangalia tu kwa kuwa una miguvu, ila kzazi chako kitaumia.
Sijui kama ulinielewa! Ubaguzi wa aina yoyote ile ni tatizo na nguzo ikiondoka lazima muumie. Nilionya juu ya hao unowaita wasukuma. Unajenga uadui bila sababu. Baadhi unaowaita wasukuma, siyo wasukuma. Makundi unayojumuisha kuwaita wasukuma wakikusanyika na kukugeuka, hutadumu popote!
Btw. Kuna watu nchi hii wamegoma kukubali historia yao chafu ya ubaguzi. Kuna kipindi waziri wa fedha, msajili wa Hazina, Kamishna wa TRA, mkaguzi mkuu wa mahesabu, wote walikuwa kabila moja! Unasemaje hapo? Ukiwauliza wanakwambia wamesoma saaaana! Kama ni sababu, kwa nini ulalamike?
Sijui kama ulinielewa! Ubaguzi wa aina yoyote ile ni tatizo na nguzo ikiondoka lazima muumie. Nilionya juu ya hao unowaita wasukuma. Unajenga uadui bila sababu. Baadhi unaowaita wasukuma, siyo wasukuma. Makundi unayojumuisha kuwaita wasukuma wakikusanyika na kukugeuka, hutadumu popote!
Btw. Kuna watu nchi hii wamegoma kukubali historia yao chafu ya ubaguzi. Kuna kipindi waziri wa fedha, msajili wa Hazina, Kamishna wa TRA, mkaguzi mkuu wa mahesabu, wote walikuwa kabila moja! Unasemaje hapo? Ukiwauliza wanakwambia wamesoma saaaana! Kama ni sababu, kwa nini ulalamike?