Tatizo ni rais? Unataka awe kabila gani sasa?Waliteuliwa na mkubwa wao ambaye ni kabila lao!!!!??? Maana kama ni wachanga nchi haijawahi kuwa na Rais,waziri mkuu wala makamu wa rais mchaga, huyo alowateua alitumia vigezo gani!!???
Rais ndo mteule, kama akiamua kuteua binamu,shangazi mjomba nk hakuna wa kumzuia, ila ajue tu kuwa ataefuata akifanya vile asiulizwe,Tatizo ni rais? Unataka awe kabila gani sasa?
Vipi hiyo safu niliyokupangia, inakupa picha gani? Hebu tusaidiane kuelewa ilikuwaje watu hao wote wakawa kabila moja? Yaani: Waziri, Msajili wa hazina, kamishna wa TRA na Mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali. Kabila moja, serikali moja.
Alikataakutoa pesa kwa Serikali au.
Maana kipindi hiki ukipingana kidogo tu na serikali, wanakutupa nje ya uwanja uwe mtazamaji, na wanamweka mchezaji wanaye mtaka.
Tatizo ni rais? Unataka awe kabila gani sasa?
Vipi hiyo safu niliyokupangia, inakupa picha gani? Hebu tusaidiane kuelewa ilikuwaje watu hao wote wakawa kabila moja? Yaani: Waziri, Msajili wa hazina, kamishna wa TRA na Mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali. Kabila moja, serikali moja.
Kuna kitu hatuambiwi. Sio kweli kwamba benki hii haina mwenendo mzuri. Nyabundege amepewa shukrani ya punda baada ya kufanya kazi nzuri. Hebu angalia performance yake:
It's not just flamboyant corporate expansion in terms of opening new branches
Lets look at TIB Corporate Bank's very impressive numbers
*NPLs (bad loans) halved to 5.4% from 11.1%*
*Working capital doubled from 206bn/- in 2015/16 to 409bn/- in 2018/19*
*Customer deposits tripled from 110bn/- to 338bn/-*
*The bank declared a 1.3bn/- profit in 2018 from 5.3bn/- loss in 2017*
Chanzo: https://www.dailynews.co.tz/news/2019-06-255d11ebfaa03a4.aspx
Una uhakika mkuu?Uyo bora kaondelewa Hana vyeti
Tujikite kwenye muktadha ila paragraph ni minor errors ambazo kwa binadamu ni vitu vya kawaida tu ila kilichomo si kimeeleweka?Yan BOT ni kama Kabudi tu, unaandikaje barua isiyokuwa na paragraph spacing? Awamu ya Jiwe hovyo tu
Hahaaaaaa imeisha hiyo