- Thread starter
- #21
Nikiuziwa skrepa wewe unaumia nini?Ila asije uziwa skrepa
Nikiuziwa skrepa wewe unaumia nini?Ila asije uziwa skrepa
Habari mkuu, gari yako inakuja na meli gani?Nimefanikiwa Mkuu
Gari ishaingia tayari na Xmas imechapa mwendo Dar-Moshi-Arusha-Babati-Singida-Mwanza-Tarime. Asanteni wadau.
TRA walikuchanja kiasi ganiGari ishaingia tayari na Xmas imechapa mwendo Dar-Moshi-Arusha-Babati-Singida-Mwanza-Tarime. Asanteni wadau.
16.5m TZS BMW X3TRA walikuchanja kiasi gani