Benki gani inatoa LPO loans

Jun 26, 2012
39
10
Kwa wenye uzoefu na mambo ya mikopo kwenye mabenki yetu yanayofanya kazi zake hapa Tanzania naombeni mnijuze uzoefu wenu.
  • Ni benki gani zinatoa mikopo based on LPO. (NOTE: collateral ipo ila nahitaji LPO loans only because of nature of my business)
  • Kuna benki zinaurasimu sana, wanapenda wapewe 10%, ni vyema nikazijua mapema, nikajua jinsi ya kuwa-avoid au nikaachana kabisa na benki za hivyo.
  • Conditions za kupewa LPO loans kwa benki tofauti zipo vipi?
  • Nature ya kazi nazofanya ni za ukandalasi(Contractor)
Your contribution will be appreciated.
 
Mkuu mwanzoni walikua equity bank lakini for now wamekua waswahili sana mkuu na wamekua benki mbaya na chafu kuliko zote
 
Mkuu ebu jaribu FBME mimi nilipewa overdraft facility based on LPO lakini sijui kama ilikuwa ushikaji au ni policy ya bank.

nipe elimu kidogo on how over draft loan is paid back. are there monthly payment or unalipa kwa mkupuo once you are paid.
 
Make sure that you have secured an advance payment bond and performance bond in terms of bank quarantee
 
Back
Top Bottom