Benjamini Mkapa akigombea tena 2015 itakuwa safi sana

Wapo watu wengi tu wazuri wa kuliongoza Taifa letu. Why Ben again? Kashfa nyingi zilizoibuliwa kipindi cha JK zilifanyika kipindi cha Ben.
 
Wapo watu wengi tu wazuri wa kuliongoza Taifa letu. Why Ben again? Kashfa nyingi zilizoibuliwa kipindi cha JK zilifanyika kipindi cha Ben.

Hata hivyo maisha yalikuwa yalikuwa very cheap kiasi kwamba hatukutambua kuwa tunaibiwa, Nafikiri wizi na usanii haukuwa kama ilivyo sasa.
 
Hata hivyo maisha yalikuwa yalikuwa very cheap kiasi kwamba hatukutambua kuwa tunaibiwa, Nafikiri wizi na usanii haukuwa kama ilivyo sasa.
Umesahau UKAPA kijana, au ulikuwa mdogo? Kama issue ni ukristo, mbona wakristo wapo wengi tu kwa nini yeye? halafu alishauza mali zote za umma, akirudi atauza watu akianza na wewe!
 
Asingekuwa kaharibu sawa, wanasema inachukua muda sana kujenga imani kwa watu, ila kosa moja tu linakuondolea imani yote uliijenga kwa miaka mingi
 
Ikiwezekana Benjamini Mkapa agombee tena 2015 itakuwa safi sana kwa jinsi hali ilivyo, Nawaza tu!

Je, Katiba inaruhusu? BM ndie raisi alieweza/atakayeweza kuimudu hii nchi..
 
Bora ya mimi kuliko Ben.Duuuuu......usikumbuke bwana..Watu walisema nyerere alikuwa best sana..ila sasa utawala wake tunaujutia kutucheleweshea maendeleo
 
Back
Top Bottom