Benjamin Netanyahu ni Nani?

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,851
2,000
Who is Benyamin Netanyahu?

Born in Tel-Aviv on October 21, 1949, Benjamin Netanyahu grew up in Jerusalem. He spent his high school years in the United States, where his father, the historian Professor Benzion Netanyahu, taught history.

Returning to Israel in 1967, Netanyahu enlisted in the Israel Defense Forces and served in an elite commando unit.Now,He is the Prime Minister Of State Of Israel.

1618811501764.png
 

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,869
2,000
Umri wake mkubwa ila hazeeki. Kaka yake ndio alikuwa bonge la komandoo akafia Entebbe akiongoza operesheni ya kuokoa mateka Waisrael waliozuiwa na Iddi Amin.

Sijasikia kiongozi mwenye sauti nzito kama huyu, anafatiwa na Felix wa DRC kwa nilosikia. Wana sauti nzito sana
sasa nawewe mtt wa kiume hujaona vitu vyakumsifia zaidi ya sauti yake nzito kwan wewe yako nilaini ama??
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
23,393
2,000
Kuna kipindi tuliilaani Israel kushambulia Parestina - Waziri wake wa mambo ya nje alipoulizwa akasema hata haijui Tanzania ni nani, ni mtu ama nchi.

Hawa jamaa bwana, ni mtu mmoja kwa 5 (Comandoo yeye, Doctor of medicine yeye, Mhandisi yeye, Mwanasiasa yeye, Mhasibu yeye..)
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
23,393
2,000
Wamarekani wengi weupe asili yao ni wa Islael; ila hakuna uhakika kama wa-Islael waliotajwa kwenye Biblia kama taifa teule la Mungu ndiyo hawa ama lah.
 

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,851
2,000
Wamarekani wengi weupe asili yao ni wa Islael; ila hakuna uhakika kama wa-Islael waliotajwa kwenye Biblia kama taifa teule la Mungu ndiyo hawa ama lah.
Hawa jamaa ni makini,hawajakubali kupoteza asili yao,pamoja na misukosuko yote waliyopata toka enzi na enzi!
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,531
2,000
Kaka yake aliongoza kikos cha kuwakomboa wayahud waliotekwa na idd amin uganda mwaka ule wa vita kat ya Tz na Uganda...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom