Benjamin Netanyahu ni Nani?

Waethipia,wale wanaitwa''MATHELASHA'' walipata kuunganishwa na Uyahudi baada ya malkia wao ,Malkia wa Sheba,kwenda kuhiji Jerusalem,akakutana na mfalme wa Israel aliyeitwa Suleiman.Huyu Malkia alimzimikia Suleiman ,kama WitnessJ anavyomzikia Netanyahu,alimpa dhahabu nyingi sana iliyojaa merikebu,wakapata mtoto.Ndio chanzo cha hao wanaitwa ''Ethiopia Jews/Thelasha''.Ambao ndio hurudi huko Israel kipindi hiki.Hiyo movement inaitwa Aaliya!
Mkuuu ungeenda deep kidgo
 
mri wake mkubwa ila hazeeki. Kaka yake ndio alikuwa bonge la komandoo akafia Entebbe akiongoza operesheni ya kuokoa mateka Waisrael waliozuiwa na Iddi Amin.
Huwa najiuliza, kwanini katika rescue missions nyingi lazimaa komandoo mmmoja apoteze maisha tena wakati wanakaribia kumaliza mission: Operation Barras pia waingeleza walimpoteza mmoja, similary, walipojaribu kuokoa mateka ubalozini (Irani)
 
Back
Top Bottom