Benjamin Netanyahu ni Nani?

Benjamin Netanyahu ni Nani?

yoni,bibi na yossi...ukoo wa watu hatari...elite sayeret matkal...and 13 flottila commandos...bad ass family
 
Umri wake mkubwa ila hazeeki. Kaka yake ndio alikuwa bonge la komandoo akafia Entebbe akiongoza operesheni ya kuokoa mateka Waisrael waliozuiwa na Iddi Amin.

Sijasikia kiongozi mwenye sauti nzito kama huyu, anafatiwa na Felix wa DRC kwa nilosikia. Wana sauti nzito sana
Sauti za kiume..Sauti za mamlaka..
 
Kubwa la magaidi
The world has been transfixed this week by speculation that Iranian President Mahmoud Ahmadinejad, a self-proclaimed devout Shiite Muslim infamous for his frequent anti-Semitic and anti-Israel remarks, may be of Jewish heritage. Jews may not be eager to claim him, but his family’s religious history — or even just the rumors surrounding it — could have serious implications for Iranian foreign policy nonetheless.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo komandoo haruhusiwe kupendwa?
... nimemtahadharisha tu Chief! Ni muhimu kama witnessj anatamani "kuanza mahusiano" ajue ni mtu wa aina gani asije sema "sikujua".
 
Bibi anajiamin Sana, Kuna wakati alisumbuana na Obama , enzi hizo Obama ni rais wa marekani, mwisho Obama ali surrender kwa Netanyahu.
 
Hawa jamaa ni makini,hawajakubali kupoteza asili yao,pamoja na misukosuko yote waliyopata toka enzi na enzi!
Ni kweli mataifa mengi yamepoteza ID's zao za majina kwa mfano - Waebrania, waefeso, wafilipi - haya yote yalikuwa mataifa makubwa - Islaeli ya Kale nafikiri ndiyo hii au lah kama wamepora jina kwa wa Ethiopia ambao wanasema ndiyo Wa-Islaeli halisia hakuna mwenye uhakika.
 
Ethiopia ambao wanasema ndiyo Wa-Islaeli halisia hakuna mwenye uhakika
Waethipia,wale wanaitwa''MATHELASHA'' walipata kuunganishwa na Uyahudi baada ya malkia wao ,Malkia wa Sheba,kwenda kuhiji Jerusalem,akakutana na mfalme wa Israel aliyeitwa Suleiman.Huyu Malkia alimzimikia Suleiman ,kama WitnessJ anavyomzikia Netanyahu,alimpa dhahabu nyingi sana iliyojaa merikebu,wakapata mtoto.Ndio chanzo cha hao wanaitwa ''Ethiopia Jews/Thelasha''.Ambao ndio hurudi huko Israel kipindi hiki.Hiyo movement inaitwa Aaliya!
 
Wewe una sauti ya Manka ndio maana unakasirika. Ungekuwa na sauti nzito usingeogopa na kubwabwaja hapa
umesifia ujuha kubali yaishee

Nibora ungesifia ana Voice yenye Spirit au ana sauti yenye mamlaka ingekaa poa. ila kwenye ulicho sifia kinatia mashaka
 
umesifia ujuha kubali yaishee

Nibora ungesifia ana Voice yenye Spirit au ana sauti yenye mamlaka ingekaa poa. ila kwenye ulicho sifia kinatia mashaka
Tulia wewe hakuna aliyekulazimisha kuimba kwaya sauti ya kwanza mpaka ukalemaa. Kwanza wapi nimesifia?

Bibi akiwa anaongea Kihebrania faster tu najua sauti yake ila kwa viongozi wengine mfano Macron au BoJo nimewazoea ila wakiongea lugha zao siwatambui mpaka niwatazame kwa vile sauti zao sio distinguishable.

Niondolee makasiriko
 
Hawa ndio hawatumii tena barakoa? Wafuasi wakiyahudi fake weusi kwa propaganda [emoji23]

Israel says it signs deal with Pfizer to purchase millions of vaccine doses for 2022 - Reuters
 
Back
Top Bottom