Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,004
- 142,560
Mkuu, Trump anasema kuwa Ayatollah Khomenei ni easy target ila hawatamuua. Wanaanza kupiga wengine kwanza. Anasema wameshalimiliki anga la IranBenjamin Netanyahu amekuwa akizungumzia mambo ya silaha za maangamizi makubwa pamoja na kubadilisha tawala za nchi kwa miaka takriban 30 sasa.
Mwaka 2002 akitoa ushuhuda kuhusu silaha za maangamizi za Iraq, alidanganya na kudai kwamba Iraq inazo hizo silaha na kwamba Saddam akiondolewa kutoka madarakani, hilo litakuwa ni jambo litaloleta matokeo yaliyo chanya kwenye eneo zima la mashariki ya kati.
Miaka zaidi ya 20 sasa tokea aseme hivyo, na sasa anadai hivyo hivyo kuhusu Iran na silaha za nyuklia.
Uvamizi wa Iraq haukuleta matokeo yoyote yale yaliyo chanya.
Iraq hali ya usalama ni mbaya.
Wamarekani wanajuta kujiingiza kwenye hiyo vita maana hawakuambulia chochote. Silaha za maangamizi hazikuwepo huko Iraq kama Netanyahu na wenzake walivyodai.
Netanyahu alidanganya na hata sasa naamini anadanganya maana kwa zaidi ya miaka 30 sasa, amekuwa akidai kitu kilekile kuhusu Iran.
Niliioinga vita dhidi ya Iraq kipindi hicho na muda umethibitisha kuwa nilikuwa sahihi kwa 💯%!
Hata sasa hivi naamini niko sahihi. Iran hawana silaha za nyuklia.
Na hata wangekuwa nazo, ingekuwa ni sawa tu maana Israel nao wanazo.
Haiingii akilini kabisa eti unikataze mimi kuwa nacho kile ambacho wewe unacho.
Huyu hapa Netanyahu akizungumza mbele ya moja ya kamati za bunge la Marekani kuhusu silaha za Iraq.
Muongo mkubwa!
View: https://youtu.be/7632MxHXtYI?si=C0eCMO1s71jk0HKf
Usiwe mpuuzi na wewe! Mtu akisema matarajio yake ni kufuta taifa, lazima hilo taifa lijilinde kwa kuliadabisha. Kuna uongo mtakatifuBenjamin Netanyahu amekuwa akizungumzia mambo ya silaha za maangamizi makubwa pamoja na kubadilisha tawala za nchi kwa miaka takriban 30 sasa.
Mwaka 2002 akitoa ushuhuda kuhusu silaha za maangamizi za Iraq, alidanganya na kudai kwamba Iraq inazo hizo silaha na kwamba Saddam akiondolewa kutoka madarakani, hilo litakuwa ni jambo litaloleta matokeo yaliyo chanya kwenye eneo zima la mashariki ya kati.
Miaka zaidi ya 20 sasa tokea aseme hivyo, na sasa anadai hivyo hivyo kuhusu Iran na silaha za nyuklia.
Uvamizi wa Iraq haukuleta matokeo yoyote yale yaliyo chanya.
Iraq hali ya usalama ni mbaya.
Wamarekani wanajuta kujiingiza kwenye hiyo vita maana hawakuambulia chochote. Silaha za maangamizi hazikuwepo huko Iraq kama Netanyahu na wenzake walivyodai.
Netanyahu alidanganya na hata sasa naamini anadanganya maana kwa zaidi ya miaka 30 sasa, amekuwa akidai kitu kilekile kuhusu Iran.
Niliioinga vita dhidi ya Iraq kipindi hicho na muda umethibitisha kuwa nilikuwa sahihi kwa 💯%!
Hata sasa hivi naamini niko sahihi. Iran hawana silaha za nyuklia.
Na hata wangekuwa nazo, ingekuwa ni sawa tu maana Israel nao wanazo.
Haiingii akilini kabisa eti unikataze mimi kuwa nacho kile ambacho wewe unacho.
Huyu hapa Netanyahu akizungumza mbele ya moja ya kamati za bunge la Marekani kuhusu silaha za Iraq.
Muongo mkubwa!
View: https://youtu.be/7632MxHXtYI?si=C0eCMO1s71jk0HKf
Itatulia pale ugaidi utakapoisha. Regime ya Iran ikidhoofishwa au kuondoshwa kabisaNa uongo wake ndio unaleta madhara makubwa sana hapo mashariki ya kati.
Uongo wake umesababisha vifo vingi sana.
Yeye akiua raia, anakwambia Israeli ina haki ya kujilinda, raia wake wakipigwa atakuja kukwambia magaidi wanaua raia.
Mashariki ya kati itatulia huyu Netanyahu akifa.
Kwa sasa israel imekuwa liabilitykwa usa mpaka basi .. wasipofikiria tena usa itaenda kufiliskiaNa uongo wake ndio unaleta madhara makubwa sana hapo mashariki ya kati.
Uongo wake umesababisha vifo vingi sana.
Yeye akiua raia, anakwambia Israeli ina haki ya kujilinda, raia wake wakipigwa atakuja kukwambia magaidi wanaua raia.
Mashariki ya kati itatulia huyu Netanyahu akifa.
Utawala wa Iran ni mgumu kuanguka.USA alivuna Sana mafuta Iraq Hadi Leo anavuna Tu....utawala wa Iran ukianguka watavuna mara 10 ya iraq
Jamaa ni muongo sana!Na uongo wake ndio unaleta madhara makubwa sana hapo mashariki ya kati.
Uongo wake umesababisha vifo vingi sana.
Yeye akiua raia, anakwambia Israeli ina haki ya kujilinda, raia wake wakipigwa atakuja kukwambia magaidi wanaua raia.
Mashariki ya kati itatulia huyu Netanyahu akifa.
🖕Usiwe mpuuzi na wewe! Mtu akisema matarajio yake ni kufuta taifa, lazima hilo taifa lijilinde kwa kuliadabisha. Kuna uongo mtakatifu