Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka



mkuu safi sana ,hoja nzuri sana
tatizo la hawa waislamu,wengi wao badala ya kujenga hoja wanaishia tu kutukana

kwa mfano,badala ya huyo jamaa kukaunta agyu hoja zako nzuri anaishia tu kutukana
sasa hapo kuna elimu kweli. Viongozi waislamu tukianzia na marehemu omari juma hadi sasa shein
,vuai nahodha,dhaifu kikwete,bilali hata kafu mkereketwa ustaadh mandevu kila mara wanawaambia badala ya kulalamika,waislamu wanapaswa kuiga ya wakristo kwa kujenga shule nzuri,vyuo,hospitali
na miundombinu mingine na kuwapeleka wana wao wao shule ili waelimike na kupata nafasi nzuri za ajira na fursa zingine za maendeleo kama wakristo

wao hawafanyi hivyo. Wanaishiaa tu

kujenga vijimadrasa
kila siku kuimba takbir
kuwapeleka wtt madrasa badala ya madarasani
kila siku kulalamikia wakristo
kupongezana ujinga na upumbavu
kuwasikiliza viongozi wao uchwara (ponda na farid) ambao hata hawatambuliwi na jumuia kuu za dini yao
kumtetea mungu(?) kwa kutukana,kuua,na kuharibu miundombinu ya dini nyingine
kuwaita wakristo kafir kumbe hata wao kwa wakristo ni makafir tu

wanashindwa kujua kwamba mungu wanayedai wanamtetea hatetewi kwa mauaji

tatizo jingine ni kwamba jk anawalealea sana hawa. Ingekuwa enzi za komandoo na mkapa mbona wangeipata fresh sana tu (kama walivyoipata fresh kipindi kile hadi wakaenda ukimbizini mombasa shimoni). Huyo ponda mwenyewe alipondwa kwelikweli hadi akakimbilia kwao kigoma kujificha. Karudi juzi kati tu mwanzo wa utawala wa jk.

Wanadekezwa sana hawa. Laiti kama...................
 
mkapa yupi?
Alie geuza ikult ofisi ya kampuni yake na mkewe?
Alie jimilikisha kiwira na kufanya ufisadi mwingine kama epa, kagoda, rada na ndege ya rais?
Alie ua watu zaidi ya mia pemba mpaka wakawa wakimbizi nje ya nchi?
Alie ua waislam mwembecha?
Sijaona hata moja la kumkumbuka mkapa.

Nyie cdm ndo mlivyo, yangekuwa maandamano yenu mngeyatetea.
Mnajifanya mmesahau mnavyofanya fujo mpaka watu wanakufa arusha, moro na iringa?
 
lazima mtamkumbuka mkapa kwa sababu kama ni kuwaua waislamu basi aliwaua sana halafu kitu ninachojifunza hapa ni kwamba makafiri wa kikristo mnapenda kuona waislamu wakinyanyaswa basi na hata hiyo 2015 akipatikana rais kafiri mapambano yataendelea tu

Mkuu hiyo ni ghadhabu, tujadili kwa amani, Uponda na uamsho usije hamia kwenye jukwaa letu; waislam na wakristo ni DUGU MOJA!!! remember ADAM & EVE!!! mimi ni mkiristo, ila sipendi kuona mwislamu akimnyanyasa mkiristo wala mkiristo akimfanyia kitu mbaya mwisilamu, SEMA waislamu hawana uvumilivu wa kiamani wanapokosewa, WAJIFUNZE!!
 
mwembechai ilikua ni kipindi cha mkapa mzee,usiisahau hii,a issue ya mabucha ya nguruwe kuvunjwa ilikua ni kipindi cha mwinyi,hii ya sasa ni kipindi cha jk,ngoma droo bado so far jinsi ya ku deal na waislam kwa marais wote ukimucha julius nyerere
 
 


mkuu muktadha uliopo hapa ni vurugu za waislamu zinazoendelea nchini hivi sasa. Hakuna cdm,mec,ccm,epa wala kagoda hapa. Hayo yana mjadala wake. Hapa tunaangalia na kumkumbuka mkapa kwa namna alivyodili na kuwashughulikia waislamu uchwala wanaofanya vurugu hivi sasa

hata kama hayo mengine alifeli,lkn waislamu sampuli ya vurugu kama hivi aliwafanyia mbaya kwelikweli. Ndo hoja iliyopo jukwaani mkuu.

Jk anawadekeza sana hawa waislamu uchwala,ndo maana tunamtofautisha na komando mkapa.

Usikwepe hoja mkuu
 
Jiwe ka kwanza la kuondoa amani ya nchi hii litarushwa na muislam! Watakaokuwa hai watashuhudia. Jana waislam walimuita Ponda si mwenzao na kamwe si Muislam, jana wanaandamana waislam toka misikiti mbalimbali kwa ajili ya huyo Ponda. Undumilakuwili wa ajabu sana na unafiki wa juu kabisa. Hata jiwe la kuondoa amani watalirusha wakisema si jiwe ni jani la mti limepeperika. Mungu usituchoke sisi Watanzania
 

JAZBA?! Poh!

Let me tell you mwagito.

Mimi sijamtukana Sheikh Ponda, nimesema tu kile anachokifanya. Ikiwa Ponda anafanya upumbavu, na mimi nikasema Ponda ni mpumbavu (kwa yale anayoyafanya) nani kati yetu atakuwa anatukana?

Hivi ukiwa na akili timamu (fikiri ndugu usibishe tu) unadhani lipi ni sahihi kufanywa kati ya haya? Naweka criteria kwanza na chini soma maswali ujijibu, sawa?

Wewe Bwana Naipuli umemkabidhi Bw. Ngungu shamba lako, yaani likae chini ya uangalizi wake. Kwa kukosa uaminifu, Bw.Ngungu analiuza lile shamba kwa Bw.Jamii Forum ambaye analipa fedha na kukamilisha taratibu zote za manunuzi na kupata hati ya kumiliki shamba lile.

Miaka kadhaa mbele, Bwana Naipuli unaamua kudai shamba lako, sasa Je, nini sahihi cha kufanya:
1. Utampeleka mahakamani Bw.Ngungu na kumshitaki kwa kuuza shamba lako au
2. Utaenda na nyundo kwa Bw. Jamii Forum na kuvunja uzio, kukata miti na kuharibu mali nyingine za Bw.Jamii Forum?

Kama bado unaamini nilikosea kusema ule ni upumbavu, basi sitakuwa na shaka ya kuwa unastahili kupelekwa kwenye wodi ya wagonjwa wa akili. Huhitaji kipimo wala mahojiano

Suala la PhD.

Mimi sikusema muislamu mwenye PhD hawezi kushiriki maandamano. Nilichosema ni kuwa hawezi kushiriki maandamano yale ambayo msingi wake ni wa kipuuzi. Pengine unayo sababu ya kutonielewa (jazba) lkn naamini ukitulia ukatafakari, utagundua kuwa, ni ujinga usio na mfano kwenda kudai mali kwa mtu aliyeinunua badala ya kumdai uliyemkabidhi.

3. Hivi! Kwa akili yako ulikuwa unategemea kwamba waislamu wote wangeshiriki kwenye hilo lililofnywa na Sheikh Ponda?
Naomba nilijibu hili swali lako peke yake; SITEGEMEI. Na sitegemei kwa sababu si Waislamu wote ni wajinga, kama ilivyo kwa dini nyingine. Na ndio nilitoa angalizo kuwa, aliye na akili hawezi kudai kiwanja kwa mnunuzi ilhali alimkabidhi muuzaji.

Karibu uje uongezee utumbo mwingine na jazba.
 
Last edited by a moderator:

hapa naona tatizo la uelewa ni kubwa sana kama hesabu katika elimu ya tanzania.
uislamu si adui wa wakristo wala serikali,tatizo ni hekima ya watu wa chache kuwa fupi.tuanzie kwenye kosa la kunajisi kitabu,huyo mtoto aliaminishwa kuwa atakuwa chizi(kitabu si mali ya mtu Ni cha Mungu-hivyo uwezo wa kumwadhibu haupo kwa mwanadamu kwa mtazamo wa kiimani). hebu fikiri huyo kijana angekuwa chizi pale pale, wenye dini wange fanyaje(wange muua au kumfunga chizi?).

kwasababu tatizo limeachwa kushughulikiwa kiimani ambapo ndiko liliko anzia,tunalishughugilikia kimwili bila ya busara kidogo,tutagawa nchi kizuri wenzetu wakristo hawana papara,wanatusubiri tuingie gizani ilituonekane hatuna ustaarabu wala uelewa wakitabu chetu wenyewe.

Fikiri hivi dini ndio ina mwongoza mtu(mme) naye anaongoza nyumba na raisi anaongoza nchi.watoto wamekosea katika msingi wa imani,kabla baba hajatoa uamuzi watoto wameanza fujo hii nyumba ina baba kweli?.

lazima viongozi waketi kwa busara na kutafakari maamuzi gani watoe kama viongozi wenye hekima ya mungu na kuita viongozi wenzao wa upande wapili iliwaweke mabo sawa, hili lingewapa heshima mbele za mungu na waungwana pia.
mtu asiye jua dini na kusoma kitabu akiangali haya anawaza nini kuhusu dini?

cha maana si wanao mjua mungu bali wale wasiomjua,maana hawa ndio wanatakiwa wajifunze kwetu na kuona mungu wa kweli ni yupi?

tukiamua kugombana kwa mising ya dini kama mathcom anavyo eleza silazima sana tutashinda,comment ya Mh.Makamba inaonyesha wana dini mbili ndani ya familia yao hawa mna wapiganishaje(wako upande upi?) na hawa si wachache, tukisha maliza kupigana tunafanya nini?.lazima tuwe na akili kidogo,hizi dini wote tumezikuta na huyo tunaye mwamini aki kawia kidogo kuja (kiama) wote tutaziacha hapa ya nini hatia ya damu ya mtu ambaye huenda haki kuliko mimi mbele za mungu?

tuendelee kutafakari mwisho wa haya malumbano
ni mtazamo wangu tu
 
mwembechai ilikua ni kipindi cha mkapa mzee,usiisahau hii,a issue ya mabucha ya nguruwe kuvunjwa ilikua ni kipindi cha mwinyi,hii ya sasa ni kipindi cha jk,ngoma droo bado so far jinsi ya ku deal na waislam kwa marais wote ukimucha julius nyerere

Sikuwa na nia ya kulinganisha marais dhidi ya waislamu bali nilikuwa naelezea jinsi Mkapa alivyopambana na uhuni na hali ilivyo sasa. Ndio maana nikasema juu ya Malawi pia, au na malawi ni Uislamu?

Wewe unabadili sura ya maongezi yangu labda kwa imani yako, sijui. Lkn sidhani kama ni jambo la kujivunia kwa upande wa Waislamu kuorodheshwa mara kadhaa kwa vurugu.

Haya wana JF, ndugu hapa anatukumbusha kuwa kuliwahi vunjwa mabucha ya nguruwe na matukano ya Mwembechai, na yote hayo yalifanywa na watu wale wale.

Na vipi kuhusu kutukanwa na wajane? Au hilo sio interest yako mkuu?
 

Ni kweli nakubaliana na wewe juu ya kumkumbuka Mkapa; haya ya kijinga tunayoyaona thubutu kama yangetokea!! Mkapa kama binadamu mwingine alikuwa na mapungufu katika utawala wake lakini you could not fault him on GOVERNANCE!! Hakuteteleka kwenye ulinzi wa raia na mali zao!!
 

Ndio shida ya ujinga na jazba. Hata mimi nilisema tutamkumbuka kwa MABAYA NA MAZURI. Na hata hapo ulivyojaza maelezo ya dhambi zake, tayari umeshamkumbuka.

CHADEMA inahusianaje na viwanja vya BAKWATA?
 
Unfortunately, tunamkumbuka Mkapa peke yake huku bara na tunasahau kuwa fujo za namna hii pia ziko visiwani!! Je ,enzi za komando Salmin Amour hawa jamaa wa uamsho wangekuwa na jeuri mpaka kuchoma moto KISONGE?
 
Wanaoshiriki katika kadhia hii ni wahuni, wajinga na wapumbavu wakiongozwa na Ponda. Serikali ni muhimu akadhibiti uhuni na upumbavu huu katika jamii yetu

Mkuu mwakaboko, huyu Naipuli anafikiria tuna ugeni na Waislamu. Mimi binafsi nimesoma na Waislam na nimefanya kazi na waislamu. Hapa ninapoongea jirani zangu ni Waislamu na tunaishi kwa kuheshimiana na kusaidiana.

Shida ya watu aina ya Naipuli ni unafiki. Anadhani kwa kuwa mtu ni wa dini yake basi akifanya jambo la kipumbavu basi anapaswa kutetewa na watu wa dini yake.

Alichofanya Ponda kule Chang'ombe ni UPUMBAVU, hamna neno mbadala. Wale waliokuwa nyuma yake ni wahuni tu wasio na mbele wala nyuma. Sitegemei m1 kati ya hawa jirani zangu (kwa namna ninavyowafahamu) anaweza kushiriki ujinga ule. Ni watu wenye biashara zao ambao mara nyingi huwa wako bize, siku utakayowaona ni weekend wakitoka msikitini au jioni wakija kuchukua watoto zao hapa jirani wakicheza na wenzao.

Hapa kwa kuwa Ponda anapambana na sheria, basi Ponda ni Muislamu, lkn tukizungumzia juu ya uadilifu, Ponda atakanwa na kuitwa MTU ANAYEUCHAFUA UISLAMU. Huu wa Naipuli ni unafiki na ujinga.
 
Last edited by a moderator:

Point mdau ila shule tunazosoma hizi zisiwe za vyeti bali tuzitumie kuweza kuleta mabadiliko kutokana na changamoto zilizopo huku uswahilini kwetu na si kwa ajili ya kupata vyeo na kujigamba, kinachotakiwa ni umoja na mshikamano kama watanzania wote bila kujali kiwango cha elimu na dini na mwisho wa siku tutafika.
 
Vulugu zinazo endelea zinatokana na umasikini na ujinga.. Vitu ambavyo awali vilitangazwa kuwa adui mkubwa wa nchi mara baada ya uhuru(Nyerere). Naamini c wote waislam wenye mtazamo chanya juu ya vurugu hizi. Lakin kutokana na kuwa na kundi kubwa la watu wenye notece chache vichwan mwao wamekuwa wakiamasishwa kipuuz bila kufanya tathmin ya uhai... muda na mali wanayopoteza ukilinganisha na wanacho kidai kwa ahad ya pepo.
Nivema maamuzi ya hekima yachukue nafac japo na mashaka kwa kiongoz kipenzi cha wengi mwenye lengo la kumsikiliza kila mtu kama atawezea. Coz miluzi mingi humchanganya mbwa muelekeo. Big up to Mkapa alisimamia maamuzi na kauli yake ilifuatwa kama kiongoz
 
Ukisoma vyombo vya habari na ukiangalia kinachoendelea barabarani kwa fujo zinazotokea barabarani za hao jamaa na ukirudi kwenye maeneo yetu tunayoishi huwezi amini kama kinachotokea ni cha kweli kwa kuwa mtaani tunaishi bila shida na kwa upendo kama majirani bila kujali dini zetu (unaweza kusema kama hakuna makanisa yalichomwa)
 

Haya mambo hufanywa kwa uchochezi. Uchochezi unapopita huwapata baadhi ya watu wasio na akili na amini nakuambia, huwa wanaorodheshana majina na kuunda vikundi vidogo vidogo katika kutekeleza dhamira zao. Mitaani tunakoishi mitazamo hii haipo kwani kumbuka, tumeoleana, tunaleana na tunazikana.

Huyu Ponda ni dhahiri yuko funded na watu fulani wenye makusudi yao. Hajaanza leo huyu, kumbuka alikuwepo Mwembechai kwenye yale matukano ya mihadhara. Lakini we wachunguze jirani na watu wa karibu yako kama wana mitazamo kama ya Ponda. Hapa ndio utajua kuwa kuna maandalizi yamefanywa katika matukio haya
 
Kweli mkapa hata mimi nammiss angekuwepo hata hawa chadema tusingeona maandamano yasiyo na kichwa wala miguu,mara operesheni kambale,mara sijui Movement for church,mkapa kiboko
 
Serikali Dhaifu hufanya mambo Dhaifu

Kwahiyo bora serikali jizi kama ya Mkapa? Au kwa sababu ndugu yetu tunamtetea tu? Kupitia uwizi wake nchi kaifikisha wapi? Watoto wangapi wamekufa kukosa dawa kwa uwizi wa nje nje zama zake? Mkajipange upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…