Benitez Sacked | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benitez Sacked

Discussion in 'Sports' started by Njaa, Dec 24, 2010.

 1. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Wakuu wale jamaa wamemtimua kocha wao licha ya kuwapa ubingwa wa dunia. Wanataka mtu wa mafanikio kama Jose Morinho, Mbona hawa jamaa hawana subira.

  I hate them
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu benitez deserved it and he looked for it

  Timu ni ya saba... kama alivyoiacha liverpool, kombe aliloshinda yes, but halina pesa na kibaya zaidi aliongea hovyo kwenye post game interview na kutishia nyau

  sasa kapewa kubwa

  yupo liverpool for holidy
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kwani kapelekwa kwa kazi gani pale,kuna uhaba wa ushindi kinoma subira gani unayotaka
   
 4. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Wangesubiri walau msimu mmoja, unajua ligi ya italia si rahisi kivile, kwa hiyo msimu mmoja walao unatosha kuangalia mazingira
   
 5. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  U got it twisted brother. Unapewa muda kama unaanza toka kwenye ovyo siyo timu umeikuta vema unaingia na gea y ku-rotate wachezaji. wamejifunza huyo alitakiwa hata asichkuliwe tangia mwanzo
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  This is a result business..... you dont perform you are out..... SIMPLE....
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Benitez was a spent force; hiyo tabia yake ya ku-rotate wachezaji ina-cost timu mechi muhimu, angalia Inter kwenye ligi yao, wamepoteza hadi mechi za kitoto? hata Liva pamoja na hali yao akienda leo watamkataa!
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukizungumzia kusubiria! liverpool walifanya hivyo, masikini waone wanavyotia huruma kama kuku wa kideli:eek:
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hali yetu ipi mkuu? we ngoja tuanze mambo, tushapumzika sana tu
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I can argue kwamba statistically and achievement-wise Benitez is very successfully.....
  Valencia ..... League and UEFA CUP Double 03/04
  Liverpool ....... Champion League Winners
  Very few managers have got such credentials..

  Lakini sadly in this Game Huwezi kuishi by the past Achievements.......

  One area where Benitez is found wanting ni kwenye kusajili wachezaji alivyokuwa Spain alizoea kazi ya Manager is just Coaching and not buying players.
   
 11. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mkuu sio kupumzika mmelala vya kutosha sina uhakika kama mtaamka mapema... labda 2012
   
 12. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Maybe Valencia lakini the rest ... amekua ana malizia kazi nzuri za wengine kama Houlier na Mourinho. Kosa walilofanya Liverpool ni kumvumilia wakavuna mabua it will take time
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Houlier alishinda kombe moja tu nadhani la FA Cup against Arsenal ambapo Michael Owen Alifunga ile siku..... kwa bahati...... Arsenal played Liverpool off the Park... Houlier hayupo kwenye the best Managers who achieved with Liverpool .....

  Benitez naweza nikamuweka kwenye the likes of Kenny Dalglish... I think Houlier is the most Overrated Manager (Very Few Managers Can Boast Winning The Champions League). Kama nilivyosema kosa kubwa ambalo Benitez analo ni kwamba hajui kusajili.
   
 14. g

  gutierez JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Houlier alibeba na uefa cup pia,inaitwa europa league siku hizi
   
 15. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  atangulie tu, kokote....alituharibia sana Liverpool. Hana maana hata kidogo. Ninahisi ana elements za ubaguzi wa rangi.
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Champions league winner????? ni nani alikuwa meneja wa mwisho kuwaletea hili kombe???; Whats needed in liverpool is overhaul ya timu yote. Probably the likes of Gerald being Scources (watoto wa liverpool) they are too big for their shoes; wanataka kum-dictate manager
   
 17. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Champion league winner yes, then next season hata nne bora hatukuwemo. Ikabidi UEFA wafikirie kupindisha kanuni ili tutetee. Ndio maana Inter wamemshtukia pamoja na kubeba klabu bingwa ya dunia.
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ni kweli lakini results matter kwenye hii kazi bila results hakuna kazi. Ndio maana nasema liverpool inahitaji zaidi ya manager Changes kubwa kufanyika maybe mtu kama Kennye Daglish ambaye washabiki wanaweza waka-associate nae, na anajua liverpool inside out. Lakini Benitez kwenye CV yake alifanya makubwa kwa liverpool kuliko kina Houlier, Graeme Souness; na Roy Evans;
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Latest results:

  Liverpool 0 - 1 Wolverhampton
   
 20. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huu sasa umbeya Baba Enock..........
   
Loading...