Benitez akimaliza huu msimu ana bahati

Benitez akimaliza huu msimu ana bahati

Mourinho

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
4,619
Reaction score
2,328
Chelsea are beaten again at home by Swansea City by 2 goals to nil, kwa record, yeye ndio mwenye record mbovu mpaka sasa kuliko any other interim manager under Abramovich
 
Chelsea are beaten again at home by Swansea City by 2 goals to nil, kwa record, yeye ndio mwenye record mbovu mpaka sasa kuliko any other interim manager under Abramovich

Yaani unaanzisha unoko huku badala ya kuwaambia kwenye jukwaa lao kisa anaogopa ban kutoka kwa Invisible? ngoja mimi niwafuate huko huko kitaeleweka tu damn it! Kumbe wamekula mkong'oto ... ... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee waende wakauze unga tu .... ..

Chacha njomba mbona mabadili jina ghafla? Just asking ... ...
 
Huyu jamaa f...a...l..a sana.

Kamng'ang'ania Tores wake wakati hamna kitu keshakua joka la kibisa.

Kufungwa kwa leo kajitakia mwenyewe coz anamuingiza Demba BA dakika ya 80 wakati tores lake limekimbia muda wote hamna kitu.

f...a....l...a sana huyu jamaa na miwani yake utadhani fundi saa.
 
Yaani unaanzisha unoko huku badala ya kuwaambia kwenye jukwaa lao kisa anaogopa ban kutoka kwa Invisible? ngoja mimi niwafuate huko huko kitaeleweka tu damn it! Kumbe wamekula mkong'oto ... ... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee waende wakauze unga tu .... ..

Chacha njomba mbona mabadili jina ghafla? Just asking ... ...

Kwani Invisible naye ni blues? Siogopi chochote kile ambacho ni "invisible"
 
Chelsea wanachoboa wanamnyima mkataba lampard huku wanamng'ang'ania tores,leo mata amecheza chini ya kiwango toka mda mrefu hata sub hajui huyo kocha ni balaa.
 
Na bado,Kingine cha kuanzia mwaka ni pale vijana wa Wenger watakapo double yale magoli ya Newcastle.
 
Chelsea wanachoboa wanamnyima mkataba lampard huku wanamng'ang'ania tores,leo mata amecheza chini ya kiwango toka mda mrefu hata sub hajui huyo kocha ni balaa.

Nope, Lampard has got to go kama kweli anaipenda club and he is not being selfish awaachie wengine hasa vijana nao wapate chance kuonesha uwezo wao.

Tatizo la huyo fat spanish cook ni kumtegemea sana Mata kwenye creation, Mata asipokua kwenye form au akikamatwa kama leo au game ya QPR team inakosa penetration na ni vigumu kupata pass za mwisho kutoka kwa other midfields zaidi ya Mata, ndio maana Laudrip kabla ya game mchezaji aliyewataka wachezaj wake kua naye makini ni Mata tu.
Oscar na Hazzard waliflourish under De Mateo ila cku hzi ni average players tu. Na hivi Moses hatakuwepo kwa muda then kwenye attacking options under huyu mwehu itakua ngumu sana, cjui game ya Stoke itakuaje kama wameshindwa kuvunja ukuta wa Swansea huo wa Stoke at Britannia cjui itakuaje.
 
Pale nilipokaa kuufutilia mechi hiyo hakika kwa mtazamo wangu huyu ndiyo kocha atakayefukuzwa mapema kuliko kocha yeyote hapo ndani ya club hiyo ya Chelsea na ukizingatia marudiano ni tarehe hii 23/01/2013 na kesho kutwa tar 12/01/2013 wanakipeta na wale wababe wa timu kongwe na si wengine ni Stoke City na hebu tusubirie majibu.
 
Huyu ni kocha mpaka msimu unapoisha, hivyo akiondoka baada ya msimu kwisha ni sawatu.
 
Benitez anaweza kuongezewa mkataba kufundisha Chelsea but inategemea kama Pep atakubali kuifundisha Chelsea
 
Sasa pick ya chelsea ulaya mbona inaisha? Kuna uwezekano mkubwa kuanza kurudia wale wa zamani kama wataendelea kutafuta manager wa pedigree zile. As long as Abramovich habadilishi thinking yake hakuna mtu ataiweza ile timu, not even the much coveted Guadiola!
 
Benitez anaweza kuongezewa mkataba kufundisha Chelsea but inategemea kama Pep atakubali kuifundisha Chelsea
Pep atachomoa tu,maana Waspain sasa wanasakamwa sana England,yaani inakuwa mkubwa jalala kila aina ya uozo anaupokea
 
Back
Top Bottom