Bendera yetu ya taifa ipepee nusu mlingoti

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
11,681
Reaction score
14,009
Mwangaruka,
Heshima
kwenu wanabodi.Jamani eeh,wenyewe mmejionea kuhusu matokeo ya wadogo
zetu wa form four.Mnasemaje sasa kuhusu kuomboleza vilio vya wadogo zetu
 
Hili pendekezo serious business sio chit chat. Calamity, a major one.
 
Hili nalo neno ila nadhani wamejitakia...
 
Kwa kweli wakuu nikifikiria sana,sipati picha nchi hii inapoelekea mambo mengi sana yanatakiwa kuwa restructured
 
Pamoja na mapungufu ya elimu yetu lakini watoto wa siku hizi nao hawasomi kabisa.
 
Mie mpaka sasa hata sielewi elewi ni nini kimetokea atii...
1. Je, mitihani ilikuwa migumu?
2. Wanafunzi hawana uwezo?
3. Usahihishaji mbovu?

shiiiii!! usisome kwa sauti, halafu eti nasikia pepa zilitungwa kwa Kichina ndio maana madogo wamedunda...
 
Haya makitu ya 80%+ kufeli limeanza sana baada ya kuanzishwa hizi sekondari za kata.
NI JANGA!!!
 
Hamjasema bado! Wakati yule Mangi anamiambieni pale kwenye premise nearby Cbe - Dom kwamba ;
Zis kantrii bwanaa zeia iz no mtaala na silabasi ndani yake!
Mkamuona ze-komedi !
Huu uliotokea ni utumbo wa mbuzi tu!
Tarajieni utumbo wa paka in days comin' !
 
Waziri wa elimu ajiuzulu hii ni janga la taifa! !!
 
Bendera kushushwa nusu mlingoti nalo neno
 

Mkuu hatuna mitaala,

Naibu waziri wa elimu alifeli hadi akakopa jina,

Walimu kutotekelezewa madai yao,

Maisha magumu kwa wazazi kiasi kwamba wanakuwa busy na maisha kiasi kwamba hawawezi hata kufuatilia maendeleo ya kitaaluma ya watoto wao.,

Watoto wenyewe ni (I love FACEBOOK but I hate to FACE MY BOOK)
Ukichanganya yote hayo unadhani utapata div.one kweli...!???
 
wilaya ya kahama mkoa wa shinyanga kuna watoto wamezimia..mpaka jana jion walikua hspl..ni janga hili
 
Mwangaruka,
Heshima
kwenu wanabodi.Jamani eeh,wenyewe mmejionea kuhusu matokeo ya wadogo
zetu wa form four.Mnasemaje sasa kuhusu kuomboleza vilio vya wadogo zetu

Wabeja sana. Bora kuishusha Kabisa kwa mwezi mmoja na robo.
 
Mie mpaka sasa hata sielewi elewi ni nini kimetokea atii...
1. Je, mitihani ilikuwa migumu?
2. Wanafunzi hawana uwezo?
3. Usahihishaji mbovu?

shiiiii!! usisome kwa sauti, halafu eti nasikia pepa zilitungwa kwa Kichina ndio maana madogo wamedunda...

sana.......chezeyaa pepa wewe.......
hivi ndio hii ilisahihishwa kwa kompyuta......? hizo kompyuta hazikuwa na virusi kweli......? hebu kaangalie........
 
Best yaani hata sielewi elewi...yaani hata hao waliopata Div I, wamepata vile vi-one vya kichovuuuu.

sana.......chezeyaa pepa wewe.......
hivi ndio hii ilisahihishwa kwa kompyuta......? hizo kompyuta hazikuwa na virusi kweli......? hebu kaangalie........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…