Bendera yetu ya taifa ipepee nusu mlingoti

Bendera yetu ya taifa ipepee nusu mlingoti

Dear Brothers & Sisters !
Always we harvest what we plant for !
What you plant now , you will harvest later HIYO NDIYO KANUNI .
Always do your best.
What you judge each day , not by the harvest you reap! Bt by the seeds you plant .
Hilo ndilo somo langu la leo .
Kuhusu bendera nusu mlingoti, bado itakua peace! Nzr zaidi robo mlingoti .
 
Best yaani hata sielewi elewi...yaani hata hao waliopata Div I, wamepata vile vi-one vya kichovuuuu.

mwaka jana hawajavujisha majibu? au walivujisha ya uongo coz wengi hua tunaponea kwenye kununua majibu,pole yao,kila mtu anavuna alichopanda!
 
Akina nani? Serikali, walimu, wanafunzi ama mazingira ya kujifunzia na kufundishia?

naanza na wanafunzi,
tatizo la
"najua utaniambia nini?"
"acha fatilia maisha yangu.!"
hilo ndilo mimi nimekumbana nalo kutoka kwa wahitimu..
 
Back
Top Bottom