Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,718
- Thread starter
- #21
Ngoja nikuelewesheBendera na picha ya Rais wao iliwekwa?? malizia basi.
Hata sikuelewi hili linahusiana nini au ni uchungu wa kichawi tu?
Raisi amesema baada ya malumbano ya bandari huku kwetu, wenzetu(Kenya) walikimbilia hukohuko na bendera yao ikawekwa kwenye jengo kama yetu ilivyowekwa, hivyo wametumia fursa.
Hii haikuwa kweli, bendera ya Kenya jengo la Burj khalifa haujawekwa hivi karibuni, iliwekwa 2019 siku yao ya Uhuru.
Mimi simkosoi raisi kwa hili maana najua huenda hivi vitu havijui, nakosoa watu waliompa hii taarifa.