Bendera ya Kenya jengo la Burj Khalifa iliwekwa 2019, ni nani amemuongopea Rais wetu kuwa imewekwa karibuni?

Leo na mimi acha niwaseme washauri wa raisi, imekuwa ipi wanamueleza raisi kuwa bendera imewekwa hivi karibuni wakati bendera ya Kenya iliwekwa 2019??

Raisi amesema sisi tunalumbana huku jirani wenzetu nao wameenda huko na bendera ikawekwa kama sisi tulivyowekwa.

Ni nani wamemueleza bendera imewekwa hivi karibuni? Mmechukua spinning na utani wa mtandaoni wakiwatania wakenya mkahisi ni ya hivi karibuni?

Naamini hili suala kuna waliomshauri mama aligusie bila kujua hili ni la miaka imepita
View attachment 2687987
nani wamemueleza bendera imewekwa hivi karibuni? Mmechukua spinning na utani wa mtandaoni wakiwatania wakenya mkahisi ni ya hivi karibuni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu kweli hii. Rais hayuko informed kiasi hiki?
Chawa ndio pia wanachangia. Wiki hii kuna watu twitter hadi lema niliona wakiwatania wakenya kuwa wajiandae huku wakiweka post zenye bendera ya kwenye kwenye hilo jengo.

Sasa naona chawa wakabeba jumla jumla na kuhusu ni tukio la karibuni. Kumbe watu walikua wanafanya kama meme tu
 
Leo na mimi acha niwaseme washauri wa raisi, imekuwa ipi wanamueleza raisi kuwa bendera imewekwa hivi karibuni wakati bendera ya Kenya iliwekwa 2019??

Raisi amesema sisi tunalumbana huku jirani wenzetu nao wameenda huko na bendera ikawekwa kama sisi tulivyowekwa.

Ni nani wamemueleza bendera imewekwa hivi karibuni? Mmechukua spinning na utani wa mtandaoni wakiwatania wakenya mkahisi ni ya hivi karibuni?

Naamini hili suala kuna waliomshauri mama aligusie bila kujua hili ni la miaka imepita
View attachment 2687987
Kwamba Toka 2019 Hadi Leo hii Bado ipo au wewe ndio umeamua Kwa Makusudi kutumia taarifa za mwaka 2019 kupotosha?
 
Kama rais yuko poorly informed kiasi hiki, taifa letu liko salama kweli?

Rais anadanganywa anadanganyika mchana kweupe? Hivi anafikiri watu ni wajinga ama?

Samia sifa ya urais hana hata moja.
Ila kuna wale kupe nape ,mwigulu na na makamba ndo huo wanamsifia huyu mother kwa Kweli sikuwahi hata kidogo kumkubi huyu mother
 
Leo na mimi acha niwaseme washauri wa raisi, imekuwa ipi wanamueleza raisi kuwa bendera imewekwa hivi karibuni wakati bendera ya Kenya iliwekwa 2019??

Raisi amesema sisi tunalumbana huku jirani wenzetu nao wameenda huko na bendera ikawekwa kama sisi tulivyowekwa.

Ni nani wamemueleza bendera imewekwa hivi karibuni? Mmechukua spinning na utani wa mtandaoni wakiwatania wakenya mkahisi ni ya hivi karibuni?

Naamini hili suala kuna waliomshauri mama aligusie bila kujua hili ni la miaka imepita
View attachment 2687987
Watu wamemkimbizia mama screenshort.
Watu waliomzunguka mama nadhani wamejiapiza kitu juu yake, na watafanikiwa tu si ndiyo waliomzunguka bana.
 
Leo na mimi acha niwaseme washauri wa raisi, imekuwa ipi wanamueleza raisi kuwa bendera imewekwa hivi karibuni wakati bendera ya Kenya iliwekwa 2019??

Raisi amesema sisi tunalumbana huku jirani wenzetu nao wameenda huko na bendera ikawekwa kama sisi tulivyowekwa.

Ni nani wamemueleza bendera imewekwa hivi karibuni? Mmechukua spinning na utani wa mtandaoni wakiwatania wakenya mkahisi ni ya hivi karibuni?

Naamini hili suala kuna waliomshauri mama aligusie bila kujua hili ni la miaka imepita
View attachment 2687987

Wasaidizi wa Rais kuna sehemu wanapwaya Sana
 
Taarifa na imfikie popote alipo
 
Back
Top Bottom