Benchika, kocha mwenye bahati zaidi Tanzania

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,302
9,462
Tangu aichukue Simba kutoka mikononi mwa Tinhowanaman Benchika amepata draw nyingi sana ndani ya mda mfupi draw hizi amezipata kwa team ndogo na za kawaida kabisa kama Namungo,Jwanengy,Azam na vipigo vya hapa na pale mfano kile Cha Mlandege (team dhaifu zaidi) na Wydad mbovu
Pamoja na matokeo hayo Benchika ameendelea kukonga mioyo ya mashabiki wa Simba bila wasiwasi hali inayomfanya awe kocha wa pekee kupendwa hata pale team inapofanya vibaya eg nafasi ya 3 kwenye ligi hadi Sasa
Hii ni ishara ya ukomavu wa wanasimba dhidi ya makocha au ni "tufanyeje Sasa"
 
Huyo hagusiki kawaletea Bakabaka aliye wahi kumkaba Cr7 na mishambuliaji hatari sana kwa kufumania nyavu yani Papaa Omary wa Njombe na Fredy Kulwa sasa ni nani wa kumgusa.
 
Huyo hagusiki kawaletea Bakabaka aliye wahi kumkaba Cr7 na mishambuliaji hatari sana kwa kufumania nyavu yani Papaa Omary wa Njombe na Fredy Kulwa sasa ni nani wa kumgusa.
Inakuja game ya Geita nayo atalaumiwa Mangungu ila sio Benchika jamaa ni nungunungu
 
Back
Top Bottom