Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 964
Mungu amuweke mahali pema peponi, Kind of Mwana mapinduzi maana alipewa nafasi mara mbili za kuongoza akashindwa tena vibaya sana, yeye na mumewe waliwaibia wananchi wa Pakistani jumla ya dola $ 1.2 Billion, a product of Oxford/Havard, alitawala kwa mabavu huku akidai in the public kuwa anakumbatia demokrasia, akawa kipenzi cha West, huku akijijengea maadui kila kona ya Pakistani,
In the end amefariki akijaribu kugombea alichoshindwa kukifanya in the past, baada ya kuwa Waziri Mkuu twice, tunampa heshima kwa sababu tu at least alikuwa akimkosesha usingizi dikteta Mushaaraaaf,
Otherwise, Mungu amlaze mahali pema peponi, Marehemu Bi Bhutto.
depends with what you mean by democracy in the first place. Lakini kama tutaondokana na semantics na ulimaanisha wester/liberal democracy yes unaweza uka import lakini not everywhere. Mfano mdogo USA iliamua kuivamia AFGHANISTAN under the pretext of installing deocracy and lierating Muslim women in KUNDIZ, MAZARI SHARRIFF, TORA BORA AND MUSA KALA white at the same time in the land of the free & home of the brave muslim men were being detained without trial in MICHIGAN, L.A, FLORIDA, NEWYORK, NJ and DC
Na kama kama hivyo haitoshi jaribu kuwaambia ARAB STREET about human rights and justice as a pillar of democracy..the obvious question waarabu watauliza what about GUANTANAMO BAY?
Kila kitu kinaweza kuwa imported.
Nyani, hoja (argument) lengo lake ni kushawishi akili na siyo hisia. Nguvu ya hoja inatokana na mambo makubwa mawili nayo ni ukweli (truth) na mantiki (logic). Hoja yenye nguvu ni ile ambayo ndani yake ina ukweli na pia inakubaliana na mantiki. Hoja ya namna hiyo inapotolewa basi mtu anayeiangalia au kuisikia analazimika kuamua kuiamini au kuikataa.
Yule anayekubali anakubali si kwa sababu nani ametoa hoja hiyo bali anagundua kuwa dhamira yake (conscience) haimruhusu kuukana ukweli na kupinga mantiki. Mtu anaweza kukataa hoja yenye nguvu kwa vile haipendi si kwa vile ni ya uongo au haina mantiki.
Hapo nyuma Game ametoa mfano wa Uzalendo wa Nyerere kuwa Mwalimu alikosa uzalendo kwa vile alipougua alienda na kufia uingereza badala ya hospitali ya Muhimbili (au hospitali yoyote ya nyumbani).
Sasa hiyo ni hoja ambayo mtu mwenye akili anaweza kuikubali au kuikataa. Ndani yake hoja hiyo ina ukweli kuwa Mwalimu alifia Uingereza na siyo Muhimbili. Hata hivyo inapingana na mantiki hasa kujaribu kuonesha kuwa mtu mgonjwa hawezi kuwa mzalendo wa kweli kwa vile amefia mbali na nyumbani kwake! Ndio maana nilisema mfano huo ni miongoni mwa mifano mibovu kabisa iliyowahi kutolewa duniani. Nadhani kiakili unazidi hata mfano wa "kupaa kwa ndege ya Lowassa"!
Nimesema hayo kuonesha kuwa matumizi ya nguvu hayawezi kuwa "hoja" hata kwa maana ya mbali. Ila hoja inaweza kulazimishwa kwa matumizi ya nguvu hasa hoja dhaifu. Kwa sababu hoja dhaifu haina ukweli na haikubaliani na mantiki.
YNIM, tatizo la kuwakubalia watu wanaotumia nguvu kutengeneza hoja zao ni kuwa hawawezi kuzilinda kwa kutumia akili bali kwa matumizi ya nguvu tu. Al Qaida wakipewa nchi waongoze ili waweze kuwashawishi watu juu ya "uzuri" wa hoja zao ni lazima watumie nguvu kwa sababu kuna watu wanaweza kuthubutu kuwaonesha kwanini hoja zao ni mbovu. Wale Taleban kule Afghanistan walifanya hivyo walipokuwa wanatawala ile nchi bila vitisho na matumizi ya nguvu hawawezi kutawala!
Sasa, matumizi ya nguvu yanashawishi hisia zaidi kuliko akili na ndicho hicho hawa extremists wanajaribu na ndicho kilichotokea Gaza!
Mwanakijiji,..... Swali ambalo ninajiuliza ni kuwa kama fundamentalists wana hoja na wanaamini hoja zao zina nguvu kwanini wanatumia nguvu kulazimisha hoja zao? Je, yawezekana kushinda kwa kutumia hoja. Hili lina implication kubwa sana katika mjadala wetu kuhusu Taifa letu.... "hoja hujibiwa kwa hoja" na ndani yake naona ya kuwa hoja yenye nguvu ikishinda na kushawishi akili za watu basi watu wataikumbatia. Kama Al Qaida wana hoja kwanini wasijenge hoja zao na wakawaacha watu waamue? ....?
Yeah...siku hizi kila kitu Al-Qaeda tu. Sasa sijui baba yake na Benazir na kaka yake na wenyewe waliuliwa na Al-Qaeda?
Umeona latest video iliyotelewa leo? Interior Minister wa Pak anasema kuwa Benazir alikufa kutokana na impact ya kugonga kichwa kwenye gari na sio gun shot(s), madokta nao wanasema hawakuona bullet holes kwenye mwili wake.
Video hiko hapa
By Frank Gardner
BBC Security Correspondent
Who killed Benazir Bhutto?
The actual assassin, when and if his identity is discovered, was doubtless someone most people will never have heard of.
What matters is who sent him and why.
In the fevered speculation now gripping the streets of Pakistan there are essentially two conflicting theories.
The first theory, the one espoused by the Pakistani government, is that al-Qaeda or the Taleban, or even both, were the killers.
Certainly the method of attack - a suicide bombing in a crowded place - is al-Qaeda's favoured modus operandi, although the assassin was taking no chances by also opening fire with a pistol just before he blew himself up.
Both al-Qaeda and the Taleban had every reason to want Ms Bhutto dead.
Anathema to Islamists
As a secular, Western-educated, female politician with close ties to Britain and the US, she represented much that is anathema to Islamist extremists.
She also publicly criticised President Musharraf for not doing enough to curb their power in Pakistan and she accused the Inter Services Intelligence (ISI), Pakistan's powerful military intelligence arm, of harbouring Islamists with sympathies for al-Qaeda.
Much will depend on whether Ms Bhutto's assassin was sent by someone inside or outside mainstream Pakistani society
If al-Qaeda was behind this assassination its normal tactic would be to wait for a while to encourage confusion and then release a carefully prepared statement on the internet, laced with religious phraseology, praising the assassin and listing its reasons for the attack.
The conflicting theory, taken up by many of Ms Bhutto's supporters, is that the government of President Musharraf is to blame.
Specifically, they blame elements in the ISI who they believe felt so threatened by Ms Bhutto's potential return to power that they took drastic action.
Inside or outside?
Despite the passion with which some hold this conviction there is no independent evidence to support this and in the absence of a truly transparent investigation the truth may never come out.
Woven into Pakistan's complex political fabric are a number of militant Islamist groups that belong to neither al-Qaeda nor the government yet have ties with one or the other, or even both.
For years the ISI supported the Taleban in Afghanistan and for years it supported Kashmiri separatist militants.
Although President Musharraf has gone to some lengths to convince Washington that he has purged the ISI and the military of anyone with links to terrorism, there are many who suspect some of the old ties have yet to be broken off completely.
In the coming days and weeks Pakistan's internal security situation will depend in part on whether Benazir Bhutto's assassin was sent by someone inside or outside mainstream Pakistani society.
If the culprits are found to be from outside, such as al-Qaeda or the Taleban leadership, then this could possibly have a unifying effect on Pakistanis, most of whom are appalled at this kind of extremist violence that has destroyed a national figure.
If however the culprits represent a recognisable faction from within Pakistani society - and especially if that faction were connected to the government - then there is a risk of far greater unrest to come.
Story from BBC NEWS:
http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/2/hi/south_asia/7163286.stm
Published: 2007/12/28 16:44:37 GMT
Hii nimeitoa BBC
Umeona latest video iliyotelewa leo? Interior Minister wa Pak anasema kuwa Benazir alikufa kutokana na impact ya kugonga kichwa kwenye gari na sio gun shot(s), madokta nao wanasema hawakuona bullet holes kwenye mwili wake.
Video hiko hapa
So far personally i am very impressed with the way Pakistan government wanavyoihandle hii situation.This is where i tend to agree with Musharaff, the military & of course the ISI. Siyo sie jeshi letu linawaachia watalii wapige picha kambi zao kwa kutumia helicopta za JWTZ