Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
- Thread starter
- #41
by de way yasemekana alipigwa risasi ya shingoni ndipo jamaa naye akalipua bomu...mimi now najiuliza..hivi hizi bullet [rppf nazo wanazo vaa wakuu ni za kuzuia risasi za kifuanina mgongoni tuu?wataalam zaidi naomba mnisaidie kuhusu hilo
Bullet proof vest haisaidii wala haimzuii mtu kukuua kwa sababu hiyo unaivaa kifuani tu na mwili si kifua peke yake. Kuna miguu, kichwa, shingo, mikono, tumbo, kiuno, n.k. Labda waje na bullet proof suit kama zile za wanaanga (astronauts) zinazokava mwili mzima kuanzia kichwa hadi miguu
Mkuu Nyani, jibu lako poa sana, ila mimi ningeongeza kuwa; mtu atakaye vaa hiyo body suit, itambidi ale humo humo, alale humo humo, ajisaidie na aoge humohumo. Mauti haikimbiliki na kibaya zaidi ni kama kuna mbaya wako aliyedhamiria kukufanyia hivyo yupo, atafanikiwa tu hata utumie mbinu gani kujihami.
SteveD.