Taifa_Kwanza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 443
- 88
Rafiki Bernard Saanane
Nimejawa na masikitiko makubwa sana baada ya kupata habari za kuenguliwa kwako
kwenye kinyang'anyiro cha Uenyekiti wa BAVICHA kwa sababu za kukiuka maadili ya uchaguzi.
Kitu pekee kinachonipa faraja ni kwamba kama binaadamu, Mwenye Mungu ameishaweka
msimamo wake juu ya makosa yote tuyafanyayo, kwamba Tukitubu na kuomba msamaha
atatusamehe hata tukiwa tumechafuka na kuwa wekundu kama damu.Nafarijika sababu
natambua kwamba unanafasi ya kutubu na kusamehewa, Ni mategemeo yangu kwamba
utaitumia fursa hii adhimu.
Naleta maombi haya kwako, kwamba zaidi ya kuomba msamaha kwa Mwenye Mungu, uje
pia hapa jamvini na kuomba msamaha, sio kujitetea - sababu sisi hatuna mamlaka ya kuku
samehe wala kufanya maamuzi yoyote juu ya maswahibu yaliyokukuta,lakini kwa nafasi
uliyokuwa nayo katika mioyo ya watu wengi hapa jamvini, kutokana na misimamo, itikadi,
ufahamu, uelewa, uungwana na machungu uliyotuaminisha kuwa nayo juu ya mstakabali
wa nchi yetu umetuacha vinywa wazi kwamba hata wewe ulikuwa radhi kukiuka taratibu
za uchaguzi ndani ya chama chako ili upate ushindi.
Nasikia ulifikia hatua ya kusema unaweza kujitoa, sina hakika kama ni kujitoa kwenye
chama au kwenye uchaguzi, kama ni kweli ulitoa kauli na ya namna hii basi inaonyesha
kwamba utoto bado unakusumbua.
Nisikuchoshe kwa maneno mengi sana, lakini nakukumbusha wajibu wako wa kurudi hapa
jamvini na kutuomba msamaha sababu wakati unatangaza nia, uliweka hapa maelezo yako
ya kina, yenye kuvutia na kutia moyo juu ya uwezo wako wa kuwa kiongozi.
Naomba utambua kwamba nakuandia wewe sababu ni wewe pekee ndiye uliyetabulika
hapa kama mgombea huko BAVICHA, wengine sikuwaona, hao watawajibika katika
communities ambazo waliziamisha kuwa ni tunu kwa taifa letu.
Jitie nguvu kama Mwanamme uombe msamaha, maisha yaendelee.
Don't be a cheap politician! Ben sometimes remaining silence is gold and talking is Silver!!
Dikteta Saanane kaondolewa kabla ya kuingia kwenye kura.tumekaa tukafurahi,AENDE AKAGOMBEE UENYEKITI WA VIJANA WA ODM KENYA.AKAMSAIDIE KIPENZI CHAKE RAILA ODINGA.HECHE KUWA MAKINI NA HUYU ATAKUPINDUA.Hakikisha mnamdhibiti kweli kweli
Wewe ni pandikizi unadhani kwa kutoa maneno hayo utamtrap Ben,kwani yeye alivyoingia kwenye uchaguzi unadhani hakutumia five senses zake anajua aliingia kwenye uchanguzi kuna kushinda na kushindwa,Chadema ni Imara hata vijana wake ni jasiri na wako imara uchaguzi umeisha wote waliogombea watakaa chini kuangalia jinsi watakavyowatumikia watanzania na Kuikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni mambo leo CCM ,toa upupu wako hapa umetuma katika kila thread maneno yako ya kijinga,pandikizi weeeDikteta Saanane kaondolewa kabla ya kuingia kwenye kura.tumekaa tukafurahi,AENDE AKAGOMBEE UENYEKITI WA VIJANA WA ODM KENYA.AKAMSAIDIE KIPENZI CHAKE RAILA ODINGA.HECHE KUWA MAKINI NA HUYU ATAKUPINDUA.Hakikisha mnamdhibiti kweli kweli
Hivi vitoto vijinga kama nuclear1 vinatia kinyaaWewe ni pandikizi unadhani kwa kutoa maneno hayo utamtrap Ben,kwani yeye alivyoingia kwenye uchaguzi unadhani hakutumia five senses zake anajua aliingia kwenye uchanguzi kuna kushinda na kushindwa,Chadema ni Imara hata vijana wake ni jasiri na wako imara uchaguzi umeisha wote waliogombea watakaa chini kuangalia jinsi watakavyowatumikia watanzania na Kuikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni mambo leo CCM ,toa upupu wako hapa umetuma katika kila thread maneno yako ya kijinga,pandikizi weee
Dikteta Saanane kaondolewa kabla ya kuingia kwenye kura.tumekaa tukafurahi,AENDE AKAGOMBEE UENYEKITI WA VIJANA WA ODM KENYA.AKAMSAIDIE KIPENZI CHAKE RAILA ODINGA.HECHE KUWA MAKINI NA HUYU ATAKUPINDUA.Hakikisha mnamdhibiti kweli kweli
Hivi vitoto vijinga kama nuclear1 vinatia kinyaa
Taifa_Kwanza na WanaJF kwa ujumla,
Kwanza kabisa naomba Moderators Msihamishe hii thread au kuunganisha na Nyingine.
Nashukuru sana kwa sababu nimeona Jf kuna waungwana,wachambuzi wa mambo na watu wasiosukumwa na ushabiki.Pia katika mchakato huu wa Uchaguzi,nimeshuhudia mambo mengi ambayo hata ninyi mngeyashuhudia nahisi hata fikra na mitazamo yenu ingebadilika.Hii thread nimeona nichangie kwa sababu ina hamu na imeonyesha jitihada za kutafuta ukweeli lakini hata hivyo ni lazima nizingatie Umoja wa Chama chetu kwanza.Maadui wetu wa kwanza ni CCM na sera zake mbovu.Nataka kujiepusha na harakati zote za kukigawa chama chetu,nazingatia Maslahi ya taifa letu na tumaini la watanzania wanaotegemea CHADEMA kama tunu kwao katika kulikomboa taifa letu.
Siku zote mimi ni muumini mzuri wa kanuni.Kama chama kimeona nimekiuka kanuni,basi ni lazima niwajibishwe.Tujiulize au naomba kuulizwa katika muktadha wa kidemokrasia,je Saanane umekiuka kanuni za uchaguzi?
Mazingira ya kuvunja kanuni: Niliunganisha nguvu na wagombea wenzangu wawili.Kanuni tata iliyovunjwa ni ile ya kukataza kampeni kabla ya muda.Tulijadili namna au uwezekano wa kuunganisha hoja zetu ili tumpigie kampeni mgombea huyo ashinde.Wakati huo huo mimi nikiwa tayari kujitoa lakini nimsaidie mgombea mwingine.Lengo langu si madaraka,mimi si mroho wa madaraka.Ninaipenda Bavicha na ninakipenda chama changu.Katika kuunganisha kwetu nguvu,tulizingatia utayari wa mwenyekiti mtarajiwa kushaurika na mwenye kubeba haiba ya chama katika sura ya Kitaifa ili vijana wote wajisikie kwamba BAVICHA ni sehemu yao.Lengo kuu la Bavicha ni kuratibu,kuhamasisha miundombinu na raslimali katka mchakato huu wa mabadiliko kupitia vijaana wote Tanzania kwa ajili ya kuking'oa chama cha Mapinduzi.Nilizingatia hilo,Bavicha ni kubwa kjuliko Saanane,ni kubwa Kuliko Greyson na ni kubwa kuliko kiongozi au Mtu yeyote ndani ya chama Chetu.Hapa wazo langu lilikuwa ni maslahi ya Bavicha kwanza,maslahi ya vijana kwanza.Kama ni kuwa mateka basi nilishikwa mateka na hisia zangu za kutaka kujitoa sadaka kwa ajili kujenga uongozi wa Bavicha uliotukuka.Mengi yamesemwa,Mengi yameandikwa kwa nia haramu na halali.Wapo waliopandikizwa hisia chafu kimaslahi zaidi.Hili siwezi kulijadili kwa sasa,haitakuwa jambo la busara na sababu ninazo tena nzito tu.Sasa kama kujadili namna ya kuunganisha nguvu ni kampeni,basi nakubali nilikiuka kanuni naomba nisamehewe.Najua wanaJF mlikuwa na imani sana na mimi,naomba imani hiyo muendelee kuwa nayo.Sijawahi kukisaliti chama changu kama inavyopandikizwa kwa nguvu zote na baadhi ya watu ambao wasiojiamini,waliofunikwa na ushabiki na ombwe la fikra.Kupitia uchaguzi huu nimeamini sisi kama taifa tuna demokrasia yetu ni changa.
Nilipotangaza kwamba naunganisha nguvu na wagombea wengine,na niko tayari kuitoa sadaka nafasi yangu ya kuwa mwenyekiti,vijana wengi waliumia,walilia,walisononeka kwani walikuwa na imani kubwa nami.Wengine walisema umetusaliti,wengi sasa wamenielewa ila tu natoa wito kwao waendelee kushirikiana na uongozi uliopo.Bavicha ni kubwa kuliko ubinafsi wetu.Lakini niwahakikishie,dhamira yangu ni njema na roho yangu ni safi.Nitaendelea kuipigania demokrasia ndani ya chama chetu ili tuzidi kukomaa na ili tuwe mfano kwa vyama vingine si ndani ya Tanzania tu na hata Afrika kwa ujumla.
Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana.Naheshimu sana Tasnia ya habari katika kukuza demokrasia,nasizitiza Sikupewa fursa ya kujinadi na kujenga hoja mbele ya wapiga kura kwani ilionekana nimekiuka maadili.Kwa hiyo sijashindwa uchaguzi,sikuingia katika sanduku la kura kwa kuwa nilituhumiwa kukiuka maadili.
Naomba niishie hapo kwa sasa.
Je tuhuma zote juu yako ni za kweli?Je,Mazingira ya uchaguzi yalikuwaje?
Tuhuma za Rushwa si kweli,ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana.Wamemnukuu katibu mkuu vibaya kwani hata yeye alisema hakuna tuhuma zozote zilizoletwa juu yangu kuhusu hili.Mimi ni mkweli,sijwahi kutoa rushwa,labda rushwa ya hoja
Tuhuma za Kupokea wajumbe:Sijawahi kupokea wajumbe.Tuhuma kama hizi msingi wake ni nini?
Kuwagawa vijana kimakundi:Sasa tafsiri ya kuwagawa vijana ni nini?Mimi sina makundi,labda kundi ambalo liliniunga mkono ambalo si kundi Rasmi.Hata wanaJF walionipa imani ni miongoni mwa kundi hilo.Sasa utagombeaje uongozi kupitia mchakato wa kidemokrasia kwa kushindana kwa hoja bila kuwa na kundi litakalounga mkono hoja zako?Hili ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama chetu ili tusonge mbele.Tafsiri tata kama hizi zinatumiwa vibaya kwa makusudi au kimkanganyiko(comfusion) katika kukandamiza demokrasia,ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama.Nimeweka sawa upotoshaji unaofanywa
Je kujitoa katika uchaguzi ni kosa?Natambua kama mwanasiasa wafuasi wangu walikuwa na imani na mimi katika kusimamia hoja nilizokuwa nazo kwa ajili ya Bavicha.Katika maaamuzi niliyofikia nilizingatia maslahi ya chama,BAVICHA na vijana wa tanzania kwa ujumla katika harakati zetu za mabadiliko
Sikuwahi kushiriki katika hila za Rushwa,Vurugu(Kama ninavyoona jitihada za kuniunganisha katika hilo).Kwanza hilo ni kosa la jinai,nalaani mpango huo haramu wa kutumia vurugu na vitisho,hiyo si Demokrasia
Tuhuma za kuwa pandikizi:Hilo nitalijadili,Misimamo yangu haitaweza kuruhusu mimi kutumika hata kidogo,tuhuma hizo hazinihusu,kama yupo anayenihusisha nazo basi ana ajenda yake.Msimamo yangu ipo wazi,siku zote napinga kuwa mateka wa kifikra
Kuna mambo mengine ambayo ningependa tuyajadili ndani ya chama chetu.Tafadhali sana naomba mvute subira kwa hili.Ila sitaki kutoa siri za vikao.Mapenzi yangu kwa CHADEMA hayana kipimo,mapenzi yangu kwa Tanzania hayana Kipimo.
Naomba niishie hapa kwa sasa,kwani naelekea maeneo Sabasaba kwa ajili ya kuweka mabo sawa na kuponyesha majeraha yaliyotokana na uchaguzi huu,nipo katika jitihada hizi kwa utashi wangu na kwa mapenzi mema ya chama changu.Tafadhali nivumilie
ni katika hili.Naomba mnisamehe kwa makosa yoyote ya spelling kwani nimeandika haraka haraka
Asanteni sana.Nasizitiza sijawahi kukisaliti na sitakaa nikisaliti chama changu,sitawahi kuwa mateka wa kifikra wa mtu yeyote.
Youths for Radical change
taifa_kwanza na wanajf kwa ujumla,
kwanza kabisa naomba moderators msihamishe hii thread au kuunganisha na nyingine.
Nashukuru sana kwa sababu nimeona jf kuna waungwana,wachambuzi wa mambo na watu wasiosukumwa na ushabiki.pia katika mchakato huu wa uchaguzi,nimeshuhudia mambo mengi ambayo hata ninyi mngeyashuhudia nahisi hata fikra na mitazamo yenu ingebadilika.hii thread nimeona nichangie kwa sababu ina hamu na imeonyesha jitihada za kutafuta ukweeli lakini hata hivyo ni lazima nizingatie umoja wa chama chetu kwanza.maadui wetu wa kwanza ni ccm na sera zake mbovu.nataka kujiepusha na harakati zote za kukigawa chama chetu,nazingatia maslahi ya taifa letu na tumaini la watanzania wanaotegemea chadema kama tunu kwao katika kulikomboa taifa letu.
Siku zote mimi ni muumini mzuri wa kanuni.kama chama kimeona nimekiuka kanuni,basi ni lazima niwajibishwe.tujiulize au naomba kuulizwa katika muktadha wa kidemokrasia,je saanane umekiuka kanuni za uchaguzi?
mazingira ya kuvunja kanuni: Niliunganisha nguvu na wagombea wenzangu wawili.kanuni tata iliyovunjwa ni ile ya kukataza kampeni kabla ya muda.tulijadili namna au uwezekano wa kuunganisha hoja zetu ili tumpigie kampeni mgombea huyo ashinde.wakati huo huo mimi nikiwa tayari kujitoa lakini nimsaidie mgombea mwingine.lengo langu si madaraka,mimi si mroho wa madaraka.ninaipenda bavicha na ninakipenda chama changu.katika kuunganisha kwetu nguvu,tulizingatia utayari wa mwenyekiti mtarajiwa kushaurika na mwenye kubeba haiba ya chama katika sura ya kitaifa ili vijana wote wajisikie kwamba bavicha ni sehemu yao.lengo kuu la bavicha ni kuratibu,kuhamasisha miundombinu na raslimali katka mchakato huu wa mabadiliko kupitia vijaana wote tanzania kwa ajili ya kuking'oa chama cha mapinduzi.nilizingatia hilo,bavicha ni kubwa kjuliko saanane,ni kubwa kuliko greyson na ni kubwa kuliko kiongozi au mtu yeyote ndani ya chama chetu.hapa wazo langu lilikuwa ni maslahi ya bavicha kwanza,maslahi ya vijana kwanza.kama ni kuwa mateka basi nilishikwa mateka na hisia zangu za kutaka kujitoa sadaka kwa ajili kujenga uongozi wa bavicha uliotukuka.mengi yamesemwa,mengi yameandikwa kwa nia haramu na halali.wapo waliopandikizwa hisia chafu kimaslahi zaidi.hili siwezi kulijadili kwa sasa,haitakuwa jambo la busara na sababu ninazo tena nzito tu.sasa kama kujadili namna ya kuunganisha nguvu ni kampeni,basi nakubali nilikiuka kanuni naomba nisamehewe.najua wanajf mlikuwa na imani sana na mimi,naomba imani hiyo muendelee kuwa nayo.sijawahi kukisaliti chama changu kama inavyopandikizwa kwa nguvu zote na baadhi ya watu ambao wasiojiamini,waliofunikwa na ushabiki na ombwe la fikra.kupitia uchaguzi huu nimeamini sisi kama taifa tuna demokrasia yetu ni changa.
nilipotangaza kwamba naunganisha nguvu na wagombea wengine,na niko tayari kuitoa sadaka nafasi yangu ya kuwa mwenyekiti,vijana wengi waliumia,walilia,walisononeka kwani walikuwa na imani kubwa nami.wengine walisema umetusaliti,wengi sasa wamenielewa ila tu natoa wito kwao waendelee kushirikiana na uongozi uliopo.bavicha ni kubwa kuliko ubinafsi wetu.lakini niwahakikishie,dhamira yangu ni njema na roho yangu ni safi.nitaendelea kuipigania demokrasia ndani ya chama chetu ili tuzidi kukomaa na ili tuwe mfano kwa vyama vingine si ndani ya tanzania tu na hata afrika kwa ujumla.
Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni general sana.naheshimu sana tasnia ya habari katika kukuza demokrasia,nasizitiza sikupewa fursa ya kujinadi na kujenga hoja mbele ya wapiga kura kwani ilionekana nimekiuka maadili.kwa hiyo sijashindwa uchaguzi,sikuingia katika sanduku la kura kwa kuwa nilituhumiwa kukiuka maadili.
Naomba niishie hapo kwa sasa.
je tuhuma zote juu yako ni za kweli?je,mazingira ya uchaguzi yalikuwaje?
Tuhuma za rushwa si kweli,ila pia naona waandishi wengine wamekuwa general sana.wamemnukuu katibu mkuu vibaya kwani hata yeye alisema hakuna tuhuma zozote zilizoletwa juu yangu kuhusu hili.mimi ni mkweli,sijwahi kutoa rushwa,labda rushwa ya hoja
tuhuma za kupokea wajumbe:sijawahi kupokea wajumbe.tuhuma kama hizi msingi wake ni nini?
Kuwagawa vijana kimakundi:sasa tafsiri ya kuwagawa vijana ni nini?mimi sina makundi,labda kundi ambalo liliniunga mkono ambalo si kundi rasmi.hata wanajf walionipa imani ni miongoni mwa kundi hilo.sasa utagombeaje uongozi kupitia mchakato wa kidemokrasia kwa kushindana kwa hoja bila kuwa na kundi litakalounga mkono hoja zako?hili ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama chetu ili tusonge mbele.tafsiri tata kama hizi zinatumiwa vibaya kwa makusudi au kimkanganyiko(comfusion) katika kukandamiza demokrasia,ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama.nimeweka sawa upotoshaji unaofanywa
je kujitoa katika uchaguzi ni kosa?natambua kama mwanasiasa wafuasi wangu walikuwa na imani na mimi katika kusimamia hoja nilizokuwa nazo kwa ajili ya bavicha.katika maaamuzi niliyofikia nilizingatia maslahi ya chama,bavicha na vijana wa tanzania kwa ujumla katika harakati zetu za mabadiliko
sikuwahi kushiriki katika hila za rushwa,vurugu(kama ninavyoona jitihada za kuniunganisha katika hilo).kwanza hilo ni kosa la jinai,nalaani mpango huo haramu wa kutumia vurugu na vitisho,hiyo si demokrasia
tuhuma za kuwa pandikizi:hilo nitalijadili,misimamo yangu haitaweza kuruhusu mimi kutumika hata kidogo,tuhuma hizo hazinihusu,kama yupo anayenihusisha nazo basi ana ajenda yake.msimamo yangu ipo wazi,siku zote napinga kuwa mateka wa kifikra
kuna mambo mengine ambayo ningependa tuyajadili ndani ya chama chetu.tafadhali sana naomba mvute subira kwa hili.ila sitaki kutoa siri za vikao.mapenzi yangu kwa chadema hayana kipimo,mapenzi yangu kwa tanzania hayana kipimo.
Naomba niishie hapa kwa sasa,kwani naelekea maeneo sabasaba kwa ajili ya kuweka mabo sawa na kuponyesha majeraha yaliyotokana na uchaguzi huu,nipo katika jitihada hizi kwa utashi wangu na kwa mapenzi mema ya chama changu.tafadhali nivumilie
ni katika hili.naomba mnisamehe kwa makosa yoyote ya spelling kwani nimeandika haraka haraka
asanteni sana.nasizitiza sijawahi kukisaliti na sitakaa nikisaliti chama changu,sitawahi kuwa mateka wa kifikra wa mtu yeyote.
youths for radical change
Ben nchi hii ilivyoharibika tunawategemea nyie vijana muikomboe nchi yetu nzuri ili sisi wakaazi wake tuishi kwa amani na neema tele,umeongea maneno mazuri na ya ukomavu,nikutakie heri katika kuendeleza gurudumu la mabadiliko weka moyoni kwamba nyie vijana mumeshika usukani wa mustakabali wa taifa letuTaifa_Kwanza na WanaJF kwa ujumla,