Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
TanzaniaDaima wamechemka hapa.
TanzaniaDaima wamechemka hapa.
Jibu hoja acha mapovu!“UmekaLILIshwa” ndio liKiswahili la wapi?
Jitu zima halijui Kiswahili,lini utajua lolote?
Hivi Ameshapewa barua yake ya kufukuzwa? Sio barua ya nia ya kumfukuza.TanzaniaDaima wamechemka hapa.
Jengeni ofisi nzuri bwana. Kila siku kudandia MATUKIO ili mpate umaarufu. Mwishowe Mtadandia na coronavirus. Membe kafukuzwa na mapendekezo hayo ya Cc hayawezi kubatilishwa na NEC. Kama mnamtaka mchukueni atawanukia hukohuko UFIPA. CCM litabaki kuwa baba lenu mpaka mwisho wa dahari
Kwa kuwa wote "wanaoomba" kujiunga na vyama vya siasa huwa hawaombi kwa kundika barua, siku wakifukuzwa wanapewa taarifa tu. Minutes za kikao zinatunzwa. Sasa ni kazi ya aliyefukuzwa kuamua kuichana ile kadi au kuirudisha au kuitunza maana kuna siku anaweza kuomba msamaha na akarudishwa kundiniHivi Ameshapewa barua yake ya kufukuzwa? Sio barua ya nia ya kumfukuza.
Sijapaniki, watu wenu akili ndogo mno
Kuna jambo unamiss boss, Kamsikilize katbu wako mkuu alivyohojiwa na mwananchi utaelewa tofauti ya nia ya kumfukuza mwanachama na kumfukuza mwanachama.Kwa kuwa wote "wanaoomba" kujiunga na vyama vya siasa huwa hawaombi kwa kundika barua, siku wakifukuzwa wanapewa taarifa tu. Minutes za kikao zinatunzwa. Sasa ni kazi ya aliyefukuzwa kuamua kuichana ile kadi au kuirudisha au kuitunza maana kuna siku anaweza kuomba msamaha na akarudishwa kundini
Hawa wahutu wanatuharibia nchi yetu“UmekaLILIshwa” ndio liKiswahili la wapi?
Jitu zima halijui Kiswahili,lini utajua lolote?
Uwanja wa kisiasa ukiwa sawa kwa wote kati ya CCM na vyama vya upinzani ndugu yangu hii kauli yako itakuja kukusuta,,,,chukulia kwa mfano mdogo tu ili ujue nguvu ya upinzani ulivyo hapa nchini ni pamoja na matumizi makubwa ya vyombo vya habari kwa CCM kujinadi kwa miradi inayojengwa hapa nchini,pamoja na kutumia vyombo vya dora kuukandamiza upinzani kila mahali hapa nchini lakini bado kwenye uchaguzi mdogo mkaweka mpira kwapani,,sasa tujiulize pamoja na upendo wote mnaoutangaza kwamba CCM inapendwa na watanzania wote mnaogopa kuwepo kwa TUME HURU YA UCHAGUZI vile vile mnaogopa mikutano ya kisiasa kwa vyama vya upinzani,,,sasa udhihirisho wa kwamba mnapendwa unatoka wapi wakati mmekuwa waoga kiasi hiki?hivi nani ambaye ni intellectual huko CCM ambaye anawaminisha kitu kisichokuwepo na ambacho ninyi wenyewe hamkiamini kwenye nafsi zenu
Sasa baada ya ya kuwazuia hao wabebeshwa majeneza na wapinzani na mkafanikiwa kuwazuia mmewasaidia nini?kipi kimebadirika kwenye maisha yao baada ya hilo zuio la serikali kutekelezwa? Nchi inatakiwa kuendeshwwa kwa kufuata matakwa ya kikatiba sio matakwa ya mtu binafsiHakuna anayeogopa mikutano ya upinzani kinachozuiwa kwa upinzani ni fujo zao, huwezi kuitisha mkutano ukaenda kuwaambia watu wabebe majeneza, badala ya kuwaambia watapate maisha bola au utawasaidiaje kupata mikopo inayotoka kila halimashauli ili wapambane na makali ya maisha, au utakapoingia madarakani utarahisisha nni iki watu wanufaike na nchi yao, wewe unawbebesha majeneza, sasa ni serikali gani ikuruhusu? Hayo majeneza yatabebwa endapo watoto wao nao watakuwa tayari kubebwa kwenye hayo majeneza.

Sasa baada ya ya kuwazuia hao wabebeshwa majeneza na wapinzani na mkafanikiwa kuwazuia mmewasaidia nini?kipi kimebadirika kwenye maisha yao baada ya hilo zuio la serikali kutekelezwa? Nchi inatakiwa kuendeshwwa kwa kufuata matakwa ya kikatiba sio matakwa ya mtu binafsi
Jengeni ofisi nzuri bwana. Kila siku kudandia MATUKIO ili mpate umaarufu. Mwishowe Mtadandia na coronavirus. Membe kafukuzwa na mapendekezo hayo ya Cc hayawezi kubatilishwa na NEC. Kama mnamtaka mchukueni atawanukia hukohuko UFIPA. CCM litabaki kuwa baba lenu mpaka mwisho wa dahari
POLICCM
Jibu hoja acha mapovu!
Ccm ni Mali binafsi ya jiwes and company chama cha familiar, sasa wwwe ni familiar?Wacha Uongo wewe CCM ni chama chetu wote, hivi nani asiyejua mamlaka ya CC na NEC.