Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,302
- 15,363
Hivi hamuonagi aibu? Kila mnachokisema kwa CCM kinakuwa kinyume chake. Kwamba NEC ikatae maamuzi ya CC? Ngoja tusubiri tuone.
Usijitie aibu dogo. Ebu angalia hapa;Ccm ni Mali binafsi ya jiwes and company chama cha familiar, sasa wwwe ni familiar?
Mkuu hao wote uliowaolodhesha kuanzia Mwl.Nyerere hadi aliyepo sasa,kwenye uchaguzi wenu wagombea huwa wangapi? tuanzie hapo.Usijitie aibu dogo. Ebu angalia hapa;
a) 1977-1992 Mwenyekiti Mwl. Nyerere
b) 1992-1997 Mwenyekiti Mzee Mwinyi
c) 1997-2007 Mwenyekiti Mzee Mkapa
d) 2007-2017 Mwenyekiti Mzee Kikwete
e) 2017- Hadi sasa Mwenyekiti Rais Magufuli
NB: Hawa wote wamepata kwa uwezo wao.
Sasa angalia Chadema;
a) 1992-1997 Mwenyekiti Mzee Mtei (Mmiliki wa Chama)
b) 1997-2002 Mwenyekiti Mzee Bob Makani (Amemuoa Dadake na Mmiliki wa Chadema Mzee Mtei)
c)2002-Hadi sasa Mwenyekiti Freeman Mbowe (Amemuoa Bintiye na Mmiliki wa Chadema Mzee Mtei)
Nafikiri kwa maelezo hayo utajua kati CCM na Chadema chama kipi kina KIONGOZI na kipi kina MMILIKI.
Ndio mwanzo huo si mmezubaa mkauza chama yule mwenyekiti wa Vijana anatoka familiar gani Na alishindishwa Kwa maagizo ya nani?kwann asilia awapati teuz Bali wahamiaji.Ukipata jibu utajua nani anamiliki chamaUsijitie aibu dogo. Ebu angalia hapa;
a) 1977-1992 Mwenyekiti Mwl. Nyerere
b) 1992-1997 Mwenyekiti Mzee Mwinyi
c) 1997-2007 Mwenyekiti Mzee Mkapa
d) 2007-2017 Mwenyekiti Mzee Kikwete
e) 2017- Hadi sasa Mwenyekiti Rais Magufuli
NB: Hawa wote wamepata kwa uwezo wao.
Sasa angalia Chadema;
a) 1992-1997 Mwenyekiti Mzee Mtei (Mmiliki wa Chama)
b) 1997-2002 Mwenyekiti Mzee Bob Makani (Amemuoa Dadake na Mmiliki wa Chadema Mzee Mtei)
c)2002-Hadi sasa Mwenyekiti Freeman Mbowe (Amemuoa Bintiye na Mmiliki wa Chadema Mzee Mtei)
Nafikiri kwa maelezo hayo utajua kati CCM na Chadema chama kipi kina KIONGOZI na kipi kina MMILIKI.
Sijui dish limeyumba? Mara hiki mara kile but no mtiririko. Lakini huko wa aina hii si ndio chapchap kuteuliwa?Jengeni ofisi nzuri bwana. Kila siku kudandia MATUKIO ili mpate umaarufu. Mwishowe Mtadandia na coronavirus. Membe kafukuzwa na mapendekezo hayo ya Cc hayawezi kubatilishwa na NEC. Kama mnamtaka mchukueni atawanukia hukohuko UFIPA. CCM litabaki kuwa baba lenu mpaka mwisho wa dahari
Party MonopolyMkuu hao wote uliowaolodhesha kuanzia Mwl.Nyerere hadi aliyepo sasa,kwenye uchaguzi wenu wagombea huwa wangapi? tuanzie hapo.
Gazeti la kufungia utumbo na visheti,gazeti la mwenye SACCOSS unategemea liandike nini,hapo waandishi ni kama wafayakazi wa nyumbani kwa mwenye SACCOSS,kifupi hapo hakuna uandishi bali ni porojo za vijiweni,si mumuchukue huyo Embe wenu na tutaonana kwa debeHii inadhihirisha nguvu ya Membe ndani ya CCM, walimfukuza, wakamtaka aombe msamaha akagoma, sasa hivi wanadai hajafukuzwa ila hatima yake ni NEC ya CCM. Huenda ile kauli ya NIGUSE NINUKE ikawa na uhalisiaView attachment 1388726