Benard Membe hajafukuzwa CCM, hatima yake ni NEC

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Hii inadhihirisha nguvu ya Membe ndani ya CCM, walimfukuza, wakamtaka aombe msamaha akagoma, sasa hivi wanadai hajafukuzwa ila hatima yake ni NEC ya CCM. Huenda ile kauli ya NIGUSE NINUKE ikawa na uhalisia
Screenshot_20200315-064951.png
 
Akili zenu mbovu sana, hiyo kauli umekalilishwa hata hujui maana yake, CCM inapendwa kwa 100% kila kona ya nchi, wapinzani kwa sasa hawana kabisa wafuasi, yaani kama kufa na wafu ni wapinzani ila wewe buyuyu unasema eti CCM ndiyo wafu, akili zero kabisa.

“UmekaLILIshwa” ndio liKiswahili la wapi?

Jitu zima halijui Kiswahili,lini utajua lolote?
 
Muonage hudyu shetwain ludi kwenye mada
Akili zenu mbovu sana, hiyo kauli umekalilishwa hata hujui maana yake, CCM inapendwa kwa 100% kila kona ya nchi, wapinzani kwa sasa hawana kabisa wafuasi, yaani kama kufa na wafu ni wapinzani ila wewe buyuyu unasema eti CCM ndiyo wafu, akili zero kabisa.

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Akili zenu mbovu sana, hiyo kauli umekalilishwa hata hujui maana yake, CCM inapendwa kwa 100% kila kona ya nchi, wapinzani kwa sasa hawana kabisa wafuasi, yaani kama kufa na wafu ni wapinzani ila wewe buyuyu unasema eti CCM ndiyo wafu, akili zero kabisa.
CCM inapendwa kila kona ya nchi?
Unachekesha maana hujui hata maana ya kupendwa.
CCM ni kama kahaba aliyeko pale Corner Bar usiku kila siku anachukuliwa na mabwana na kushughulikiwa garini, makaburini na kwenye mapagala hata mara tatu tofauti kisha anajitapa anapendwa sana! Kwamba kila siku hakosi wa kumkuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juha wewe kabisa Abunuasi kabisa

Nani kakwambia 100%??
Akili zenu mbovu sana, hiyo kauli umekalilishwa hata hujui maana yake, CCM inapendwa kwa 100% kila kona ya nchi, wapinzani kwa sasa hawana kabisa wafuasi, yaani kama kufa na wafu ni wapinzani ila wewe buyuyu unasema eti CCM ndiyo wafu, akili zero kabisa.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Jengeni ofisi nzuri bwana. Kila siku kudandia MATUKIO ili mpate umaarufu. Mwishowe Mtadandia na coronavirus. Membe kafukuzwa na mapendekezo hayo ya Cc hayawezi kubatilishwa na NEC. Kama mnamtaka mchukueni atawanukia hukohuko UFIPA. CCM litabaki kuwa baba lenu mpaka mwisho wa dahari
Wambie mkuu,ndiyo maana ccm tunazo ofisi kubwa na mpaka leo tuongoza nchi na hamna matatizo apa nchini.
 
CCM inapendwa kila kona ya nchi?
Unachekesha maana hujui hata maana ya kupendwa.
CCM ni kama kahaba aliyeko pale Corner Bar usiku kila siku anachukuliwa na mabwana na kushughulikiwa garini, makaburini na kwenye mapagala hata mara tatu tofauti kisha anajitapa anapendwa sana! Kwamba kila siku hakosi wa kumkuna.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonekana wewe ni moja ya hao makahaba, maana unajuwa mnavyotendewa😂😂😂😂
 
CCM inapendwa kila kona ya nchi?
Unachekesha maana hujui hata maana ya kupendwa.
CCM ni kama kahaba aliyeko pale Corner Bar usiku kila siku anachukuliwa na mabwana na kushughulikiwa garini, makaburini na kwenye mapagala hata mara tatu tofauti kisha anajitapa anapendwa sana! Kwamba kila siku hakosi wa kumkuna.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonekana wewe ni moja ya hao makahaba, maana unajuwa mnavyotendewa😂😂😂😂
 
Jengeni ofisi nzuri bwana. Kila siku kudandia MATUKIO ili mpate umaarufu. Mwishowe Mtadandia na coronavirus. Membe kafukuzwa na mapendekezo hayo ya Cc hayawezi kubatilishwa na NEC. Kama mnamtaka mchukueni atawanukia hukohuko UFIPA. CCM litabaki kuwa baba lenu mpaka mwisho wa dahari
Kila lenye mwanzo mkuu..........
 
Mkuu tambua kuwa ile NEC ya CCM ilikufa toka mwaka 2015 wajumbe waliposema tunaimani na fulani.sasa wewe unataka NEC gani tena yenye mamlaka wakati NEC orijino imeshakufa,iliyipo ni NEC ya mtu mmoja,wingi unaouona ni wa bandia hauna hata meno ya kuweza kutafuna hata mandazi.
 
Uwanja wa kisiasa ukiwa sawa kwa wote kati ya CCM na vyama vya upinzani ndugu yangu hii kauli yako itakuja kukusuta,,,,chukulia kwa mfano mdogo tu ili ujue nguvu ya upinzani ulivyo hapa nchini ni pamoja na matumizi makubwa ya vyombo vya habari kwa CCM kujinadi kwa miradi inayojengwa hapa nchini,pamoja na kutumia vyombo vya dora kuukandamiza upinzani kila mahali hapa nchini lakini bado kwenye uchaguzi mdogo mkaweka mpira kwapani,,sasa tujiulize pamoja na upendo wote mnaoutangaza kwamba CCM inapendwa na watanzania wote mnaogopa kuwepo kwa TUME HURU YA UCHAGUZI vile vile mnaogopa mikutano ya kisiasa kwa vyama vya upinzani,,,sasa udhihirisho wa kwamba mnapendwa unatoka wapi wakati mmekuwa waoga kiasi hiki?hivi nani ambaye ni intellectual huko CCM ambaye anawaminisha kitu kisichokuwepo na ambacho ninyi wenyewe hamkiamini kwenye nafsi zenu
 
Back
Top Bottom