Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

TUTASHINDA TENA

Senior Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
141
Reaction score
78
Habari tulizopata muda huu ni kuwa Ben Saanane amepata ajali mbaya eneo la Maili moja Kibaha wakielekea Rombo Kilimanjaro kwa ajili ya kampeni pamoja na Marafiki zake wawili.

Gari inayomilikiwa na Allan Meshili aina ya Prado T377ACG iligongwa na gari nyingine na kupoteza mwelekeo kisha ikavaana uso kwa uso na gari ya aina ya scania ya mafuta.

Kuna watu wapo eneo la tukio watatutumia taarifa zaidi
===================

JamiiForums imethibitisha kutokea kwa ajali hii, Ben yupo salama lakini Patrick anadaiwa kuwa katika hali mbaya sana.

Taarifa zaidi zitafuatia


 
Ooooh my Comred!!!!

Poleni sana, Mungu atawaponya haraka mrejee katika mapambano.
 
Mungu na awaponye kwa wepesi muendelee na kazi zenu kama kawaida.
 
Hii picha aloweka huyu haihusiani na ajali ya Ben saanane, bali picha wameitoa kwenye hii habari
 
Dah!!!! Poleni sana jamani
 
R. I. P wapendwa waliotutangulia na poleni majeruhi & get well sooner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…