Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

Status
Not open for further replies.
Saaa nane anatia huruma sana.

Hata chumba cha kulala analipiwa.

Sasa utaendelea na biashara uchwara kama hiyo ndani ya Chagadema hadi lini.

Si ulo.fa huo??


Teh teh teh.

Bora mwenzako yericko ufundi mchundo wake atleast unamuweka mbutu.

Teh teh teh.

Kwi kwii kwiii.

Ha ha ha ha.

Chaga PiiiiPooooz....

Wivu wa Kike huu
 
Katika hali ambayo hawakuitarajia kutokana na Tabia zao hawa vijana za kuwalamba miguu vigogo wa kuu wa KUDUMU wa chadema, leo vijana hawa wameenguliwa kutoka katika kinyang'anyiro cha kugombea ujumbe wa kamati kuu ya chama.
Ben Saanane kijana aliyejipatia umaarufu kupitia mgongo wa zitto kabwe, alianza kunukiwa na bundi la kutokukubalika toka 2009 alipogombea uenyekiti bavicha na kutolewa, mwaka 2014 baada ya kubuni mkakati wa kujisogeza karibu na wakubwa ambao ni viongozi wa KuDUMU pale chadema, bado jina lake liliondolewa kwa mizengwe.

Mpiganaji huyu hakuishia hapo aliamua kujitosa ktk kutafuta ujumbe kamati kuu, huku akijitapa kua atawabwaga akina prof. Baregu, lakini kumbe mbio za sakafuni huishia ukingoni, na kua ngoma ya watoto haikeshi. Ben ametolewa leo kwa kukosa sifa ya kugombea. Kijana huyu ambaye hujinadi kwa kua MAKINI na mfuata taratibu na kanuni, lakini mara zote 3 ametoswa kwa kutofuata kanuni,katiba za uchaguzi.

Habari za ndani zibadai kua Ben ni double agent kwa chadema na kundi moja ya mgombea wa ccm, ambaye ni waziri na mbunge kutoka mikoa ya kusini. Hivyo ni vigumu kuaminika kwa wakuu wa ufipa.

kilewo ambaye ni kijana-mzee ambaye jina lake lilianza kupata umaarufu kutokana na kufanya tukio la kigaidi kumwagia tindikali Mussa Tesha, kitu ambacho kilimpelekea kushitakiwa na Jamhuri leo nae ameenguliwa katika nafasi ya ugombea.

Kilewo huyu ambae umaarufu wake ukiacha tukio hilo la ugaidi, pia amefalifamika zaidi baada ya kubuni mradi wa kitapeli uliokuja kupigwa marufuku na serikali wa TelexFree. Leo hii hana chake mitaa ya ufipa.

Tumaini Makene afisa habari anayejituma kufafanua mambo mitandaoni hasa yahusuyu chadema, au mbowe na dr slaa, leo ametoswa pia.

Ndo maana leo kwa hasira na kisirani hajaandika hata kuhusu updates za mkutano wa baraza kuu kama ilivyo kua kawaida yake


Poleni sana vijana msikate tamaa hii ndo chadema, na siku mkimjua M2 ndo mtapona

Aluta continua, ascertera vista...
Umeandika kiushabiki mno! Poor you.
 
ben alisema juzi kwamba NDO MAPAMBANO YANAANZA baada ya kubwagwa bavicha tusubiri leo atasemaje
ule uzi wa ben ndoto yake imezimwa kabla ya kuanza safari

mkuu Ben Saanane yupo kwenye denial phase....atakubali ukweli soon.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha,ben saanane siyo kiongozi ni mhuni fulani tu wala asiwape shida kazi yake ni kutumika tu alinyanyaswa shonza na mwampamba wakawacheka leo yanawakuta tena yakitokea usoni kwao wakiyaona.

Nadhani bado ana mengi ya kuyashuhudia kabla hajakiri alipokanyaga si pema
 
Teh teh ina maana huko ccm kila anayeomba uongozi anapewa? Huu ni uharo uliopitiliza!..na je nafasi za kukitumikia cdm ni ujumbe wa kamati kuu tu?
 
Ningeshangaa sana mhuni aina ya ben muda 8 eti naye awe mjumbe wa nec ya chadema...aibuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom