chubio
Senior Member
- Jun 21, 2012
- 106
- 16
post ya henry kilewo fb hii Sijapendekezwa kugombea ujumbe wa kamati kuu, sababu hizo ni zamsingi sana ikiwamo ya mimi kuwa na majukumu makubwa ya kichama ndani ya mkoa wangu na kanda yangu .. Matokeo ya kuenguliwa kwangu nimeyapokea kwa mikono miwili... Hongereni kamati kuu, matokeo hayo yananifanya nikitumikie chama changu kwa nguvu zaidi na yamefungua ukurasa mwingine wa siasa zangu.... Hongera kamati kuu iliyojaa busara na Hekima za hali ya juu... Tunahitaji kusonga mbele kwa pamoja na hilo ndilo hitaji kuu la Watanzania.. Nakipenda chama changu na itabaki kuwa hivyo Daima...