Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

acha kuzuga basi .......unafikiri tumesahau vimemo alivyo andika katibu mkuu wa ccm mangula kwenda bank kuu kwa balali mwaka ule kaa pembeni usitukumbushe mengine hii ni kuhusu ufisadi kupitia green tang na kag
hebu weka kimemo kimoja hapa tuweze kukidurusu maana mimi sina taarifa juu ya uwepo wa vimemo hivyo.sasa ungeviweka hapa ingekuwa bora.
 
Tumejipanga kupambana na wanafiq!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu, mnafikiri kwanini Waziri Wasira alisema CHADEMA haitafika 2015?
Sababu wanajua watu wao waliowapandikiza huko CHADEMA wakiongozwa ZITTO Z .KABWE
wanafanya kazi waliyotumwa vizuri sana.
Lakini Viongozi makini wa CHADEMA wanayafanyia uchunguzi wa kina maoni ya aina mbalimbali
yanayoonyesha kutomwamini ZZK katika mienendo yake.
Na ndiyo maana viongozi wa Usalama wa CHADEMA wakawatuma vijana wao akiwemo Ben SAANANE kuchimbua mambo.
Na si SAANANE pekee wengi tu wapo kazini.
Mamluki wote mtaipata mwaka huu.
 

Hawakujua kama CDM ni taasisi????? walidhani ni kilabu cha pombe??????????????
 
You may fool all the people some of the time, you can even fool some of the people all of the time, but you cannot fool all of the people all the time.
Lincoln, Abraham
 
Hata Bwana Yesu alijaribiwa lakini kwa kuwa alikuwa royal kwa Mwenyezi mungu alishinda. Wanakubali kuwa walifanya hivyo vikao na Saa nane sijui kumi. Cha msingi walichukua hatua gani walipogundua kuwa vikao vyake sio vizuri kwa chama? Inawezekana Bwana Saa8 alipewa task maalum baada ya kugundua baadhi ya watu nyendo zao zina walakini. Unapokuwa royal kwa upande fulani unapogundua mambo sivyo ndivyo either tangu siku ya kwanza unajitenge nao kabisa, au unatoa taarifa kuwa kuna kitu kinaendelea then wanakupa ruhusa uendelee kusikiliza ili upate zaidi. Saa hao walikaa kimya na wakaendelea kuhudhuria vikao hivyo mpaka mambo yalipobumbuluka.
Ila Saa8 naye acije akawa alitumwa na CCM afanye yote hayo kwa kutumia udhaifu wao then, aje abumbulue ili kuanzisha gogolo. Tafakari!
 
Mchanga mwanzoni mwa uzi umeonekana kujipanga vizuri, lakini mwishini mwa hoja umemalizi vibaya.

Mwishoni umezu allegation kuwa ZK alifunguliwa nati na maadui ndani ya chama ili afe, hoja inabaki uliripoti wapi ? kwa ushahidi upi ?

umetaja kuwa ulimpinga Ben saa 8 kuanzisha V4C, lakini baadayae inaoneshwa chama kilianzishwa na wewe ukapewa jukumu la kumuita ZK.

cha msingi umekubali kuwa ulikuwa au ni mwanakikundi wa V4C japo kuwa wazo hili ulionesha kulipinga toka awali lakini baadaye ulikubali.
 
MODS: Tafadalini muwe na mizania sawa. Mmeweka humu nyuzi za masalia almost invariably but where are the Mamuya's one.

Restore it and now.
 
msimshirikishe zitto kwa lengo la kumchafua kamwe hamtaweza yupo makini jamaa huyu hamtaweza
 
hebu tujadili mambo ya msingi bana,watu wazima tumjadili saa 8 ambae hata ktk kijiko hajai!mwacheni akauze ubuyu.
 
Msalimie Wakudadavua
 
Kwahiyo sasa ndio kipaji hiki cha fabrication unekichanganya na cha Musiba kazi yenu kuharisha tu sasa hivi.
 
Chawa mchange sijui kwa sasa anapumulia wapi??? Au ni asiyejulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…