Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
- Thread starter
-
- #121
Cha kufurahisha ni kwamba hata makamanda wenu sasa wamebaini ugumu wa kuingia ikulu sasa wanapigania posho tu.mmebaki nyie manyigu ambao hamna adhari zozote kwenye siasa za nchi hii.
Kamanda wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu za viongozi wa CHADEMA.
Akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara huko GOBA jana Saanane alisema anamfahamu vema Nape kwani walisoma pamoja huko nchini India.Saanane alieleza kwa kirefu jinsi Nape alivyotumia njia zisizo halali kupata elimu yake.Saanane alimtaka Nape afunge mdomo kwani kamwe hawezi kujilinganisha na John Mnyika kwa sababu ni sawa na kulinganisha na mbingu na ardhi.
Akishangiliwa na umati mkubwa wa watu Saanane pia aliwatahadharisha wananchi kuhusu Juliana Shonza na Mtela Mwampamba ambao walifukuzwa na Chadema na sasa wanatembezwa majukwaa mbalimbali na CCM kwa lengo la kuwatukana matusi viongozi wa Chadema.
Ben Saanane kwa siku za karibuni amejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Chadema tangu pale alipofichua njama za usaliti ndani ya Baraza la vijana la Chadema-BAVICHA na hatimaye wasaliti hao walioongozwa na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakafukuzwa uanachama.
Mkuu,Kwa akili na fikra yako kila anatemblea JF yuko Tanzania na kila asiyependa chongo maisha yake yako Lumumba.Kuna kikao Lumumba sasa hivi mkuu,kimbia unachelewa.
Acha kupindisha historia.
Wasaliti waliongozwa na Ben Saanane (COBRA) kwa kushirikiana na Habibu Mchange (MDUDE). Ila baada ya Ben Saanane kuona anakosa fursa ya kukutana na Zitto (PREZZO) akaamua kubadilisha plan.
ZeMarcopolo!
Pls washauri hawa watu wako akina JK Na Nape watuletee japo maji salama tu na wawalipe walimu angalau zaidi!HATUNA HAJA YA UMEME wala ASPRINI kwa sasa maana hizi huduma kwa CCM ni ANASA sio basic needs!
Maji tu mkuu!Tunakunywa yenye vyura huku Kyela!Tunaomba kwanza maji tu tafadhali!
Kuna wahindi India walikuwa wana mClouds FM Ben Saanane na Nape kwa pamoja
siasa bana, sasa kwanini Nape akisema inaonekana upuuzi ila akisema Ben sio upuuzi?
rationale iko wapi kama hoja ililetwa hapa jamvini ikasemekana ni upuuzi kwasababu ilitoka kwa Nape basi hata hii iltoka kwa huyu mtoa mada juu ya majibu ya saanane ni upuuzi. so far hakuna mantiki ya kujadili juu ya elimu bali maswala mengie ya msingi.
so far katiba yetu inasema ili m agombee uongozi lazima awe amemaliza elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mana hiyo hata aliyefika sekondari kavuka lengo.
ZeMarcopolo!
Pls washauri hawa watu wako akina JK Na Nape watuletee japo maji salama tu na wawalipe walimu angalau zaidi!HATUNA HAJA YA UMEME wala ASPRINI kwa sasa maana hizi huduma kwa CCM ni ANASA sio basic needs!
Maji tu mkuu!Tunakunywa yenye vyura huku Kyela!Tunaomba kwanza maji tu tafadhali!
Magamba leo mna kazi.Mlilikoroga wenyewe na mlinywe sasa.Kila ujinga mtakaofanya utafutiliwa mbali kwa njia saba.
Mkuu,Kwa akili na fikra yako kila anatemblea JF yuko Tanzania na kila asiyependa chongo maisha yake yako Lumumba.
Hata hiyo Lumumba unayoitaja taja sijawahi kuishi na wala siifahamu. Think bigger.
kazi kwa lipi??
hebu sema mantiki ya hoja yako??
MwanaCCM wewe maswala ya ndani ya Chadema umeyajuaje?
Kwa hiyo hauko Tanzania? Mbona kila siku unaripoti mikutano ya Nape na kutuwekea picha? Huna uwezo wa kudanganya watu JF.
Tangu asubuhi uko busy na huu uzi.Ni mtu gani wewe usiye na shughuli nyingine ya kufanya zaidi ya kuhangaika na thread za Chadema? Kizuri kila mtu anakujua hapa jamvini utadanganya tu wajinga.
Nashawishika kuamini hivi, maana katika hali ya kawaida, mwanafunzi aliyefauru vizuri form six au diploma hapa kwetu huwa tatriiibu anaingia vyuo vya hapa nyumbani kujitaftia Bachelor degree yake. Ukiona mtu amesoma O -LEVEL AU A-level kwa kuungaunga, afu akakimbilia nje india au uganda, basi ujue hapo lazma kuna tatizo la msingi.In short: Nape alinunua cheti
Mdude kuna uzi niliona majuzi kati anataka kuhamia CCM....Islam ndo aliuleta.
kama makamanda wa morogoro waliokiri kurubuniwa na CCM, lakini wameshtuka, CCM bye bye. Hongera ben. Shonzi na mwampamba hoi na hovyo kabisa. Wanafikiri CDM ni kijiwe. Hola eeeeeeeeKamanda wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu za viongozi wa CHADEMA.
Akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara huko GOBA jana Saanane alisema anamfahamu vema Nape kwani walisoma pamoja huko nchini India.Saanane alieleza kwa kirefu jinsi Nape alivyotumia njia zisizo halali kupata elimu yake.Saanane alimtaka Nape afunge mdomo kwani kamwe hawezi kujilinganisha na John Mnyika kwa sababu ni sawa na kulinganisha na mbingu na ardhi.
Akishangiliwa na umati mkubwa wa watu Saanane pia aliwatahadharisha wananchi kuhusu Juliana Shonza na Mtela Mwampamba ambao walifukuzwa na Chadema na sasa wanatembezwa majukwaa mbalimbali na CCM kwa lengo la kuwatukana matusi viongozi wa Chadema.
Ben Saanane kwa siku za karibuni amejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Chadema tangu pale alipofichua njama za usaliti ndani ya Baraza la vijana la Chadema-BAVICHA na hatimaye wasaliti hao walioongozwa na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakafukuzwa uanachama.
Wale wale ambao wanapiga kelele kwamba Nape amefilisika kisiasa kwa kuongelea watu na wayapuuze yale anayoyaongea, hao hao wanakuja kuanza kuyachagiza katika jukwaa lile lile. kama niya kupuuzwa, kuna maana gani basi kutumia jukwaa kuyarudia tena na tena.
Kwa maana nyingine, Huku ni kucheza muziki unaopigwa na Nape & co-
Siasa bana.
hivi Nape anahusika nini katika serikali hadi aombwe maji?? sawa unataka raisi akuletee maji wewe je kama mwananchi umefanya juhudi gani ili kweza kupata maji?? unatunza vanzo vya maji inavyotakiwa?? unatunza miundo mbinu ya maji?? je huibii mamlaka ya maji mapato yake?? si miongoni mwa wale ambao hawataki kulipa bili zao kwa wakati??
je umeoesha juhudi ganii kwamba unahitaji maji?? umewah kuvuna hata kwa kutumia gutters nyumban kwako??, umewa kujaribu japo kutengeneza kikundi cha watumia maji cha kijiji ama mtaa wako??