Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

Harakati za uongozi bavicha?
Umaarufuuu....nice movu anyway.
 
Yaani huyu Saanane ni Bonge ya kuni yeye amekalia umbea na kufitinisha watu hajui siasa zaidi ya hizo
 

Mkuu Mwita Maranya unajua watu wengine wa ajabu sana.Nape alienda Goba wiki iliyopita akawatumia Masalia kumkashifu sana Mnyika na kuwatukana matusi viongozi wa Chadema hasa Dr Slaa.WanaCCM hapa jamvini walifurahia sana porojo zile.Jana Chadema imeenda kuhutubia palepale kufuta uchafu wa Masalia,sasa wana CCM hapa jamvini wanatokwa mapovu.
 
Last edited by a moderator:
Juliana Shonza,
Haka kabinti ndiyo kiboko ya Chadema.

Kakitokeza tu Pro-Chadema JF karibia wote mapovu yanawatoka.
 
Last edited by a moderator:

In short: Nape alinunua cheti
 

Tukutane pm basi. Au nako tutalipuliwa?
 
Leo mtahangaika sana lakini Chadema imewaahika pabaya.

Kwa maelezo yako, aliyekuwa anaongelewa ni mtu siyo chama kwayo kilichofanyika ni kumuanika huyo mtu pabaya.

in an ideal world, CHADEMA kana effective opposition kilitakiwa ku-set a motion and not to be cornered by CCM na kuanza kucheza mchezo ambao CCM ni magwiji. It'll never work.
 

Mkuu nchi hii bila kuunga unga elimu huifiki!
 

Ndiyo maana mnampoteza Nape kwa kumdanganya hivi.Wewe ndiye mjuaji huko CCM ndiyo maana sishangai wanafunzi laki 3 kupata sifuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…