Ben Pol v/s Belle 9 kwenye 'chorus' za Hip-Hop

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
Ni wasanii manguli wa rnb ambao ubingwa wao ktk kutengeneza nyimbo nzuri,kusimama vyema ktk viitikio na kuwa na sauti zao murua walizojaaliwa....Belle 9 ni mbunif mzur wa idea,ana sauti ya kipekee,anaimba kwa hisia na pia akishirikishwa ktk kiitikio huwa hakosei hata kama anaimba na underground....Ben pol yupo vizur kwa sauti,kuimba acapela,kusimamia viitikio na katika uandishi...sikiliza viitikio vya nyimbo zifuatazo;
-BELLE 9
1.kila cku by Nikki mbishi
2.inachoma by shetta
3.dear gambe & 13 by young killer
4.dini by afande selle
5.sirudi jela by bonta
6.naongea na roho by jos mtambo.....

-BEN POL
1.Sikati tamaa by Darasa
2.play boy by Nikki mbishi
3.bendera ya chuma by Fid q
4.sitaki kazi by Nikki wa pili
5.mama yeyo by Gnako
6.Fununu by Young dee .........NANI MKALI KTK KUIMBA VIITIKIO VyA HIP HOP?
 
Ben pol kafunika kwenye

-Mama yoyo
-Sitaki kazi
-Sikati tamaa

Bele9 nae kaharibu kwenye

-Dear gambe
-Inachoma

Ila mmoja ana promo i.e. anapewa air time kuliko mwingine.
 
belle 9 ongeza hii

Albino Fulani ft Sugu,
Belle9 & MwanaFA - Nafasi


Jamaa ana balaa kubwa, Ben Pol ni mkali ila kwangu mimi Belle ni zaidi
 
Belle anatisha sana hasa kila siku na dear gambe ....lakini yote tisa kumi kuna mkali wa featuring usipokua makini utadhani wimbo wake ......mr blue ,a.k.a babylon busy habari manazo .,,,,star mwenye cash bila matangazo.....wamekaa!!
 
Daahhh sijui hata wa kumchagua maana wote wapo vizuriii ingawa Ben pol anapewa air time zaidi kuliko tisa....

Ila wote baba lao ni G NAKO yaani kiitikio hata huez kubashiri hata alifikiria nini !!!!!!!
Huyu ndo CHORUS KILLER
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom