Kama Mheshimiwa Speaker wa bunge la Muungano wa Tanzania alivyotinga Ikulu ya Zanzibar na hijabu, vazi lina mvuto wa aina yake na kumbadili kabisa mwonekano wake.
Kama Mheshimiwa Speaker wa bunge la Muungano wa Tanzania alivyotinga Ikulu ya Zanzibar na hijabu, vazi lina mvuto wa aina yake na kumbadili kabisa mwonekano wake.
kama jamii yote ikikubali kuwa linapendeza, kwani hata kama itakuwa ni kanga, ikiwa wengi watapendezwa nayo, ubaya nini????? Kumbuka, "Kitendo chochote kilicho amuriwa na wengi, ni kitendo cha maendeleo, hata kama hakiongezi shibe wala afya"