Ben Carson: "Tuache visingizio vya kukosa nafasi..."

epigenetics

JF-Expert Member
May 25, 2008
269
79
An inspirational speech. Ninaamini vijana wa Tanzania tutajifunza sana na life story ya huyu Dr Ben Carson.

Tazama:
[media]http://video.google.com/videoplay?docid=451609363450214010&q=ben+carson&ei=_aeESLfWMpSE2wK4pcjHAg&hl=en[/media]
 
  • Thanks
Reactions: BIR
huyu bwana nilisoma vitabu vyake kama miaka 15 iliyopita na vilikuwa inspirational sana kwa sababu anasisitiza sana chochote unachofanya ujitahidi kuwa the best, nilisoma gifted hands na think big.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom