Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,601 Reaction score 6,723 Feb 7, 2016 #21 Raimundo said: Kuna nyimbo zake 3 za mwanzo huwa nikiamua kuzisikiliza hazinichoshi - Masogange, Sumu ya Penzi, Unanifaa. Dogo yuko vizuri sana. Click to expand... Bila shaka atakuwa kajipanga sasa.
Raimundo said: Kuna nyimbo zake 3 za mwanzo huwa nikiamua kuzisikiliza hazinichoshi - Masogange, Sumu ya Penzi, Unanifaa. Dogo yuko vizuri sana. Click to expand... Bila shaka atakuwa kajipanga sasa.
haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,874 Reaction score 4,673 Feb 7, 2016 #22 Rogie said: Kwanini mkuu? Click to expand... Kipaji anacho tatizo management mbovu kule WCB wako vizuri wamejipanga kisasa zaidi na kufikisha mziki mbele.
Rogie said: Kwanini mkuu? Click to expand... Kipaji anacho tatizo management mbovu kule WCB wako vizuri wamejipanga kisasa zaidi na kufikisha mziki mbele.
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,601 Reaction score 6,723 Feb 7, 2016 #23 haa mym said: Kipaji anacho tatizo management mbovu kule WCB wako vizuri wamejipanga kisasa zaidi na kufikisha mziki mbele. Click to expand... Nimesikia ana management mpya sasa hivi pengine ndio maana tunamsikia sikia. Kudhaminiwa na kampuni kubwa si mchezo.
haa mym said: Kipaji anacho tatizo management mbovu kule WCB wako vizuri wamejipanga kisasa zaidi na kufikisha mziki mbele. Click to expand... Nimesikia ana management mpya sasa hivi pengine ndio maana tunamsikia sikia. Kudhaminiwa na kampuni kubwa si mchezo.
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Feb 7, 2016 #24 Kaboom said: Alianza vizuri sana aisee..Inasikitisha kuona Masogange ni maarufu kuliko Belle9 Teh Click to expand... Ha ha ha, hiyo kweli.
Kaboom said: Alianza vizuri sana aisee..Inasikitisha kuona Masogange ni maarufu kuliko Belle9 Teh Click to expand... Ha ha ha, hiyo kweli.